Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

hayo mambo ya kujizibia rizki ..........aku sifanyi
 
Wengi wanaoweka picha za wenzi wao profile....huwa wanamichepuko asikuambie mtu...ile inakuwa trick ya kumfanya mwenzi wake aamini yuko pekeyake......
 
Kuna sababu gani za msingi za mtu kuweka picha ya mpenzi wake kama Profile picture yake kwenye WhatsApp, inasaidia nini?

Nawasilisha,..

Kuna sababu gani za msingi kufuatilia mambo yasiyotuhusu? Inasaidia nini?
 
Kama Insta ndio balaa... Kila dakika "with my hubby" wakat hata hajakutolea shilingi.. Mkibwagana unafuta. Ukimpata mwingine tena unaanza.

Dah wana shughuli pevu!

Hahaahhaha,.. Hii kali asee!!
 
Whatsapp ndio wapi?
Nikijua nitajibu.
 
Wengi wanaoweka picha za wenzi wao profile....huwa wanamichepuko asikuambie mtu...ile inakuwa trick ya kumfanya mwenzi wake aamini yuko pekeyake......

Kuna element ya ukweli hapa,..
 
Mi hata kama ni mbayaa naweka tu si ni wa kwanguuu sijali uhandsome wala ubayaaa mi najali navyompendaa basiiii hata kwa wengine awe anatishaaa mi kwangu mzuri tu ndio naridhikaaaa

Well said mkuu, hongera
 
Back
Top Bottom