Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

Mi hua nawekaa picha coz ni mwanaume nnaempendaa, sifichi na kuogopa mtu yeyote ni mwanaume wangu ,mpenzi wangu ,baba yangu najiaminiii pia na status huweka nayotaka mieee


Yaani mpenzi wako unamwita baba yako??????????
Hiyo nayo kali maana najua mpenzi wako unafanye naye matusi sasa huyo huyo tena anaitwa Baba duuuh we kiboko...........
 
Ngoja niendelee kusoma comment nielewe manake huko sijawahi kuchunguza.
 
Yaani mpenzi wako unamwita baba yako??????????
Hiyo nayo kali maana najua mpenzi wako unafanye naye matusi sasa huyo huyo tena anaitwa Baba duuuh we kiboko...........

Bila shaka hamaanishi baba mzazi bali baba wa familia,..
 
unaokuta wenawekana profile picture alafu baada ya miezi miwili wana achana. ila ndio Tanzania yetu

kama wolper na gmodel.waliweka mipicha insta baada ya mda mfupi wameachana kila mtu kafuta ni majanga
 
Yaani mpenzi wako unamwita baba yako??????????
Hiyo nayo kali maana najua mpenzi wako unafanye naye matusi sasa huyo huyo tena anaitwa Baba duuuh we kiboko...........

Heee hujuiii hayo ni maneno tu kimapenzi pia ni baba wa familiaa au,mbona hata nyie mnatuitaga mama kwani humaanisha ni mama aliekuzaa ni kama heshima tu kuitwa hivyooo
 
Kuna kama mambo matatu hivi inawezekana huyo aliyemuweka mwenzake haamini kama kampata maana ni mzuri sana n.k au kumuonyesha flani kwamba nina mtu huyu kwa sasa au kumthibitishia mpenz wake huyo kwamba she/he is the only one though kuwekwa kwenye profile hakuguarantee hiyo kitu by the way hiyo ni personal life mtu ana uhuru wa kufanya chocote anachotaka kama ilivyo kuvaa pete tu kidoleni.
 
Kuna watu huona kama wanapendwa sana pindi picha zao zikiwekwa whatsapp (profile picture) na hudhani kama mpenzi wake hana mchepuko,kumbe wanaibiwa tu.

Kinachofanyika ni kwamba kama demu wako au jamaa ya ana wapenzi wengi, kitu cha kwanza anachokifanya anawablock mademu zake wote kisha anaweka picha yako. Lengo la kuwa block ni kufanya wasiione picha yako akaulizwa huyo ni nani.

Kwa mantiki hiyo, hata wewe kuna siku nyingine au hata masaa kadhaa tu mpenzi wako anakublock ili aweke picha za jamaa yake au demu wake mwingine.

Hayo ndio mapenzi ya kimjini mjini, unarushwa hewani kidogo wakati wakati wenzio wanawekwa pending. Baadae unawekwa pending wenzako nao wanarushwa hewani.

Posted by: SUPU YA MAWE
 
kuna ambao wakiwekwa picha wanadhan ndo wanapendwa ndo dawa hiyo. Watakulazmisha uweke picha yao kumbe unaweza kumpenda bila kuweka picha na ukaweka picha kumbe humpend kwa dhat unazuga tu
 
Duuuuu hayaa yapo kwenye mapenzi n kweli mtupu asante kwa kuwakumbushaa wengine
 
Kama wajitambua huwezi weka picha ya mpenzi wako, ni utoto. Kama ni mke/mume sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…