Kuweka Picha ya Mpenzi wako kwenye Profile ya WhatsApp!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Habari wana MMU.

Naheshimu sana mawazo yenu bila kujali yana maudhui ya aina gani kwani kila mtu amejaliwa karama yake na uwezo binafsi wa kutafakari mambo na kuyatolea maamuzi.

Back to the Topic,..

Kuna hili jambo, unakuta mtu kaweka picha ya mtu wa Jinsia tofauti na yeye, yaani kama ni mwanamke anaweka picha ya mwanaume, na kama ni mwanaume anaweka picha ya mwanamke huku akiambatanisha na maneno fulani fulani ya kimapenzi, kama ''I luv u hubby, sweetie'' e.t.c

Hawa watu wanaofanya hivi huwa wana malengo gani hasa? Au wanatangazia wengine kwamba tayari wanao wapenzi wao?

Kuna sababu gani za msingi za mtu kuweka picha ya mpenzi wake kama Profile picture yake kwenye WhatsApp, inasaidia nini?

Nawasilisha,..
 
Nishawahi kufanya hivyo coz nilikuepo kwenye chat groups nyingi na kwa asilimia kubwa ilipunguza usumbufu so if u love your man/ lady just do it sioni ubaya.
 
Mkuu uliachwa ukawekewa picha nini ikakuuma. Leo hii kweli unauliza swali la kiipuuzi namna hiyo. Kwann usiulize wanaoweka za mama zao au baba zao na dada zao na kaka zao

Hapana mkuu, mimi sina historia kuachwa bali nimewaacha wengi, kuna mpenzi wangu anapenda sana kuweka picha yangu kwenye Profile yake,.. Sijapata kujua umuhimu wa yeye kufanya hivyo huku akinilazimisha na mimi niweke ya kwake kwenye Profile yangu,. Bado sijamkubalia pamoja na yeye tayari ameshaweka ya kwangu kwake,.
 
Habari wana MMU.

Naheshimu sana mawazo yenu bila kujali yana maudhui ya aina gani kwani kila mtu amejaliwa karama yake na uwezo binafsi wa kutafakari mambo na kuyatolea maamuzi.

Back to the Topic,..

Kuna hili jambo, unakuta mtu kaweka picha ya mtu wa Jinsia tofauti na yeye, yaani kama ni mwanamke anaweka picha ya mwanaume, na kama ni mwanaume anaweka picha ya mwanamke huku akiambatanisha na maneno fulani fulani ya kimapenzi, kama ''I luv u hubby, sweetie'' e.t.c

Hawa watu wanaofanya hivi huwa wana malengo gani hasa? Au wanatangazia wengine kwamba tayari wanao wapenzi wao?

Kuna sababu gani za msingi za mtu kuweka picha ya mpenzi wake kama Profile picture yake kwenye WhatsApp, inasaidia nini?

Nawasilisha,..

Mkuu uhuru wa mtu usingilie kila mtu anafanya apendavyo
 
Wewe unataka kujua malengo yao ili nini,
Si watu na vyao wanafanya wanavyotaka, we fanya vile utakavyo na whatsapp dp yako, weka hata pctr ya ka pet chako chochote kile unataka au usiweke, ni ya kwako.
Wacha kuperuzi peruzi sana, cha!
 
Habari wana MMU.

Naheshimu sana mawazo yenu bila kujali yana maudhui ya aina gani kwani kila mtu amejaliwa karama yake na uwezo binafsi wa kutafakari mambo na kuyatolea maamuzi.

Back to the Topic,..

Kuna hili jambo, unakuta mtu kaweka picha ya mtu wa Jinsia tofauti na yeye, yaani kama ni mwanamke anaweka picha ya mwanaume, na kama ni mwanaume anaweka picha ya mwanamke huku akiambatanisha na maneno fulani fulani ya kimapenzi, kama ''I luv u hubby, sweetie'' e.t.c

Hawa watu wanaofanya hivi huwa wana malengo gani hasa? Au wanatangazia wengine kwamba tayari wanao wapenzi wao?

Kuna sababu gani za msingi za mtu kuweka picha ya mpenzi wake kama Profile picture yake kwenye WhatsApp, inasaidia nini?

Nawasilisha,..

acha wivu mkuu,watu wanafanya mambo yao kimpango wao we unaumia mtima
 
Mi hua nawekaa picha coz ni mwanaume nnaempendaa, sifichi na kuogopa mtu yeyote ni mwanaume wangu ,mpenzi wangu ,baba yangu najiaminiii pia na status huweka nayotaka mieee
 
Ni uamuzi binafsi...

Simu yake kanunua kwa hela yake....
Bundle zake amenunua kwa hela yake...
Whatsapp yake kadownload kwa hela zake iwe ni bundle au (kulipia kwa wenye iphone)

Hata wakiweka vifanyio vyao ni sawa tu...

Uhuru wa simu zao
 
Back
Top Bottom