Kuweka Records Sawa: Utaratibu alioupendekeza Shabiby ndio uliokuwepo kabla, Haufai

Naunga mkono maelezo yako. wanataka kununua na ktuletea mafuta ya magendo ama yaliyowekewa vikwazo.
Mfumo wa sasa havi uko wazi kwa kila mtu- na tenda ni ya wazi kabisa. Kama Shabiby anauwezo ashinde tenda- anunue na kuleta mafuta yake hayo ya magendo atapata faida kubwa sana.
Mwisho kama Shabiby anapenda usawa mbona ni mabasi yake tu yanabeba wabunge wanapokuwa na ziara za kamati?
 
Nilitamani nikupe like ya pili ! Ila sina namna
Umeeleza vizuri sana ,sana , kuna uzi humu nawaelezea scenario hii anayoipigia chapuo shabbiby , sio kwa afya ya taifa ,
Tatizo kubwa la watanzania ni kuwa hatupendi kujisomea na kuongeza maarifa , na wanasiasa wanapita na sisi humo kwa ujinga wetu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…