Kuweni makini na dawa inaitwa TRAMADOL. Shauri yenu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
I suggest hii dawa isiwe OTC, iwe tu under doctor's prescription.

Kama ilivyo cocaine na bangi hii kitu ndivyo utaenda nayo hivyo hivyo maana inakufanya uhusi na kujionan kuwa hauwezi ishi bila hio.

Ni dawa ya maumivu ila pia inaweza kufanya utulivu wa anxiety.

Inakupa pumziko fulani hivi kama arosto, wengine uona kama raha fulani sasa wanaendelea kuitumia hadi inatengeneza addiction kucheza na akili yako, na inakuwa ngumu kuiacha.
 
Umechelewa sana kujua
 
Kwani ni OTC kibongobongo? US ni schedule II controlled so inakuwa kwenye double lock! Hamna access bila prescription
 
Ila hii dawa Ina mzio pia na watu wengine. Unatapika balaa, mama yangu alichomwa baada ya appendicitis OP. Alitapika sana, mimi pia nilipewa baada ya kutoa jino, nilijuta maana nilitapika mpaka damu ya kwenye kidonda ikaanza kutoka
 
Back
Top Bottom