Mimi vitu vikipigwa marufu huwa nachekelea sana🤣🤣Hakika
Umechelewa sana kujuaI suggest hii dawa isiwe OTC, iwe tu under doctor's prescription.
Kama ilivyo cocaine na bangi hii kitu ndivyo utaenda nayo hivyo hivyo maana inakufanya uhusi na kujionan kuwa hauwezi ishi bila hio.
Ni dawa ya maumivu ila pia inaweza kufanya utulivu wa anxiety.
Inakupa pumziko fulani hivi kama arosto, wengine uona kama raha fulani sasa wanaendelea kuitumia hadi inatengeneza addiction kucheza na akili yako, na inakuwa ngumu kuiacha.
Kama mkokaaMimi vitu vikipigwa marufu huwa nachekelea sana🤣🤣
Hii kitu nimepeleka na mafuso ya bidhaa nyingine sana , now nataka kupata mchongo wa kuvua the big 🐟 😄😄Kama mkokaa
Kila la heriHii kitu nimepeleka na mafuso ya bidhaa nyingine sana , now nataka kupata mchongo wa kuvua the big 🐟 😄😄
Hata hiyo elfu 5 ni wezi, huku buku jero😂😂Ipigwe marufuku kabisa ili watu wa pharmacy tuuze 50 elfu badala ya 5000 mpaka 3000 kwa blister
I suggest hii dawa isiwe OTC, iwe tu under doctor's prescription.
Kama ilivyo cocaine na bangi hii kitu ndivyo utaenda nayo hivyo hivyo maana inakufanya uhusi na kujionan kuwa hauwezi ishi bila hio.
Ni dawa ya maumivu ila pia inaweza kufanya utulivu wa anxiety.
Inakupa pumziko fulani hivi kama arosto, wengine uona kama raha fulani sasa wanaendelea kuitumia hadi inatengeneza addiction kucheza na akili yako, na inakuwa ngumu kuiacha.
Mamaeeeee mimi nataka hata pcm ipigwe marufu tuuze elfu 10Hata hiyo elfu 5 ni wezi, huku buku jero😂😂
Bongo dawa yeyote ni OTC,Kwani ni OTC kibongobongo? US ni schedule II controlled so inakuwa kwenye double lock! Hamna access bila prescription