Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Kuna siku Insta niliona Iphone 14 wanauza laki 6. Wanasema duka liko Zanzibar lakini kwenda kwenye comments nikakuta wamefunga
Nikasave post alafu nikawafollow nikasema mwisho wa mwezi nitanunua
Siku mbele naona mshikaji wangu ananitumia reel ananiuliza hawa jamaa unawajua maana nimeona umewafollow. Nikamwambia siwajui ila nimeona bei zao ni chee kwa hiyo nataka mwisho wa mwezi ninunue
Jamaa akaniambia hao jamaa ni matapeli na ndo maana wamefunga comments ili watu wasijue utapeli wao. Yeye aliona Iphone 11 kwa laki 3 na nusu akatuma pesa mpaka leo hajawahi kutumiwa hiyo simu
Tukae kitaalamu!