Kuweni makini na hizi page za biashara zinazofunga comments. Laki 6 yangu ilikuwa inaondoka!

Kuweni makini na hizi page za biashara zinazofunga comments. Laki 6 yangu ilikuwa inaondoka!

Sasa utasemaje Eu au Marekani na mzigo watakiwa uje tz hapo ndio sijaelewa
Ukiagiza mzigo china, wao wanapeleka kwa forwarder. Forwarder kama Silent Ocean ndiye anajua ni wapi unaenda. Supplier kazi yake kufikisha kwa forwarder tu. Hata kama wao wanaleta hadi Tanzania. Kuhusu wapi mzigo unaonunua unakwenda huwa wanakuuliza mwanzoni. Na hata pale mwishoni akijua unakuja TZ, unamwambia utaenda UK kupitia TZ. Ni njia ya kujihami bwashee
 
Ukiagiza mzigo china, wao wanapeleka kwa forwarder. Forwarder kama Silent Ocean ndiye anajua ni wapi unaenda. Supplier kazi yake kufikisha kwa forwarder tu
Kwa ile sample niliyoagiza waliituma kwa ndege wao wenyewe nikaifuata ofisi za kampuni moja ya usafirishaj wa anga nimeisahau jina
 
Ulisema upo US na upo Tz mzigo utatumwa Us ama Tz?
Naomba kueleweshwa
Pole sana kwa kukuchelewesha, nilikuwa nakata majani ya kulisha ng'ombe wa boss.

Hii nimesema ni katika negotiations, hususan kama mtu huna uhakika kabisa na unachoagiza ili kuwaweka wogo wakupe bidhaa safi siyo fake. Of course ukiwaeleza hivyo, bei inakuwa tofauti. Katika bei huwa wanakuuliza kama unatumia forwarder nchini China au wao wakupelekee unapopeleka mzigo. Unawaeleza peleka mfano Silent Ocean. Wao siyo kazi yao kujua Silent Ocean atapeleka wapi. Sana sana wanaandika Shipping Mark katika mzigo na kwa kawaida ni simu yako na jina lako.

Kiukweli wana wateja wengi, kufuata umbea huwa hawana sana sana. Mimi Mara nyingi hutumia trick hii kama sina uhakika au kuuliza AI
 
Ukitapeliwa mtandaoni wewe ni fala, sijasoma andiko lako, kichwa cha habari tu na ku hitimisha wewe ni kenge! When the deal is too good to be true, ukiibiwa ni tamaa zako?
 
Penda kamserereko kakuserereshe

Ukishakua mjinga unafundishwa kwa vitendo namna hiyo
 
Matapeli wengine ni wale wanauza mabando bei ya kitonga,uki clixk page zao direct zinakupeleka Wsp
 
Inaonekana hao jamaa wanajua Watanzania wanapenda vitu vizuri kwa bei ndogo kwa nini usitumie hiyo laki sita kununua simu inayoendana na bei hiyo dukani kuliko kutaka kuwachangia wahuni bure bure tu..
Ni sawa wametangaza wanauza Mercedes-Benz GL 250 kwa Tsh 5m.
 
Pole sana kwa kukuchelewesha, nilikuwa nakata majani ya kulisha ng'ombe wa boss.

Hii nimesema ni katika negotiations, hususan kama mtu huna uhakika kabisa na unachoagiza ili kuwaweka wogo wakupe bidhaa safi siyo fake. Of course ukiwaeleza hivyo, bei inakuwa tofauti. Katika bei huwa wanakuuliza kama unatumia forwarder nchini China au wao wakupelekee unapopeleka mzigo. Unawaeleza peleka mfano Silent Ocean. Wao siyo kazi yao kujua Silent Ocean atapeleka wapi. Sana sana wanaandika Shipping Mark katika mzigo na kwa kawaida ni simu yako na jina lako.

Kiukweli wana wateja wengi, kufuata umbea huwa hawana sana sana. Mimi Mara nyingi hutumia trick hii kama sina uhakika au kuuliza AI
Boss naonba nije dm unipe shule ya kufanya importation...au hata hapa ukinielezea pia itakuwa unyama
 
"if it's too good to be true, it probably is" means that an offer or situation that seems impossibly wonderful usually hides a trick, a scam, or a catch
 
Back
Top Bottom