Kuweni makini na hizi page za biashara zinazofunga comments. Laki 6 yangu ilikuwa inaondoka!

Kuna siku Insta niliona Iphone 14 wanauza laki 6. Wanasema duka liko Zanzibar lakini kwenda kwenye comments nikakuta wamefunga

Nikasave post alafu nikawafollow nikasema mwisho wa mwezi nitanunua

Siku mbele naona mshikaji wangu ananitumia reel ananiuliza hawa jamaa unawajua maana nimeona umewafollow. Nikamwambia siwajui ila nimeona bei zao ni chee kwa hiyo nataka mwisho wa mwezi ninunue

Jamaa akaniambia hao jamaa ni matapeli na ndo maana wamefunga comments ili watu wasijue utapeli wao. Yeye aliona Iphone 11 kwa laki 3 na nusu akatuma pesa mpaka leo hajawahi kutumiwa hiyo simu

Tukae kitaalamu!
Hatari sana ,jamaa yako alipigwa kizembe sana ,usitume pesa kununua bidhaa online ,kama hana wakala au unalipia ukiletewa bidhaa basi achana nayo ,bora uende dukani.

Tapeli anajulikana tu ,ukimwambia nalipia ukija nayo au nielekeze nije kuchukua dukani ,akikataa moja la hilo basi KIMBIA MITA 100.........Mtu ambaye anauza atakubali moja wapo.
 
Sana! Ndio maana nikagairi maana mzigo ukishakuja huwezi rudisha kirahisi nikaona bora nipambane na wabongo japo nao kwenye hiyo sekta kuchomoka ni shida watu wanaishi kwa ukanjanja sana mjini
Kubadili oil nikasikia gari haitembei😀😀
Mafundi kabla sijafanya watu kuwa wehu na koo zao..hili Dude limetoka Karagwe...to Moro>Mbeya>Tunduma then Dsm..hii nafanya service ya kawaida..
Naenda nikirudi linatakiwa kwenda Namtumbo...oooh unajua..

Mafundi niwaambie mimi pia mwizi kama mlivyo nyie😀😀Dude likawaka mpaka leo nusu mwaka😀😀
 
Kuna siku Insta niliona Iphone 14 wanauza laki 6. Wanasema duka liko Zanzibar lakini kwenda kwenye comments nikakuta wamefunga

Nikasave post alafu nikawafollow nikasema mwisho wa mwezi nitanunua

Siku mbele naona mshikaji wangu ananitumia reel ananiuliza hawa jamaa unawajua maana nimeona umewafollow. Nikamwambia siwajui ila nimeona bei zao ni chee kwa hiyo nataka mwisho wa mwezi ninunue

Jamaa akaniambia hao jamaa ni matapeli na ndo maana wamefunga comments ili watu wasijue utapeli wao. Yeye aliona Iphone 11 kwa laki 3 na nusu akatuma pesa mpaka leo hajawahi kutumiwa hiyo simu

Tukae kitaalamu!
Bei ikiwa ndogo kupita kiasi ukilinganisha na soko, usikimbilie kuamini. Matapeli wengi hutumia bei za kuvutia ili kuwafanya watu watume pesa haraka bila kufanya uhakiki.
Kabla ya kutuma malipo:
  • Hakikisha duka lina anuani halisi na historia ya kuaminika.
  • Soma maoni ya wateja kutoka vyanzo tofauti, si ukurasa wa muuzaji pekee.
  • Epuka kutuma malipo kamili kwa akaunti binafsi bila uhakika.
  • Ukiwezekana, lipa baada ya kuona bidhaa au tumia njia zenye ulinzi kwa mnunuzi.
 
Kuna siku Insta niliona Iphone 14 wanauza laki 6. Wanasema duka liko Zanzibar lakini kwenda kwenye comments nikakuta wamefunga

Nikasave post alafu nikawafollow nikasema mwisho wa mwezi nitanunua

Siku mbele naona mshikaji wangu ananitumia reel ananiuliza hawa jamaa unawajua maana nimeona umewafollow. Nikamwambia siwajui ila nimeona bei zao ni chee kwa hiyo nataka mwisho wa mwezi ninunue

Jamaa akaniambia hao jamaa ni matapeli na ndo maana wamefunga comments ili watu wasijue utapeli wao. Yeye aliona Iphone 11 kwa laki 3 na nusu akatuma pesa mpaka leo hajawahi kutumiwa hiyo simu

Tukae kitaalamu!
Bei mserereko au sio, wale jamaa wanakamataga watu wengi mno.
 
Kuna siku Insta niliona Iphone 14 wanauza laki 6. Wanasema duka liko Zanzibar lakini kwenda kwenye comments nikakuta wamefunga

Nikasave post alafu nikawafollow nikasema mwisho wa mwezi nitanunua

Siku mbele naona mshikaji wangu ananitumia reel ananiuliza hawa jamaa unawajua maana nimeona umewafollow. Nikamwambia siwajui ila nimeona bei zao ni chee kwa hiyo nataka mwisho wa mwezi ninunue

Jamaa akaniambia hao jamaa ni matapeli na ndo maana wamefunga comments ili watu wasijue utapeli wao. Yeye aliona Iphone 11 kwa laki 3 na nusu akatuma pesa mpaka leo hajawahi kutumiwa hiyo simu

Tukae kitaalamu!
Kuna namba yenye code ya Kenya ya +254 umenipigia Sasa hivi, wananiambia wao ni Mixx by Yas,na Kwamba nimeshinda kiasi cha TZS 800,000 na wakawa wanataka niwasomee OTP number ya App ya Mixx by Yas ambayo iliingia muda huo huo wakati wananipigia ili waweze kunitumia hiyo hela.

Sasa kwa kuwa Mimi ninaelewa kuwa OTP number ni Siri hutakiwi mtu ajue nikawasomea namba fake mara ya kwanza, wakatuma OTP nyingine pia nikasoma namba fake, wakatuma OTP nyingine mara ya tatu nikawasomea namba fake ya OTP, wakatuma tena OTP nyingine na Mimi nikasoma namba fake ya OTP hiyo, wataendelea kama mara 7 hivi baadae nikaona wamenikatia simu na Mimi nikaamua ku-block hiyo namba.

Funzo nililopata ni Kwamba usije ukampa mtu OTP number ya hizi APP zenye kutuma hela iwe haya NMB Kiganjani, SIMBANKING, MIXX BY YAS, nakadhalika...ukiwatajia tu OTP number basi jua umeshaibiwa.

Na kama ningekuwa poyoyo Ina maana leo Hawa jamaa wangejipigia Milioni 3 fasta kwenye namba yangu ya simu ya Mixx by Yas

Kwa kifupi tuwe makini
 
Back
Top Bottom