Mnapenda vitu vya gharama mkiwa hamna Uwezo, iPhone 14 upate kwa Laki 6 kweli?Kuna siku Insta niliona Iphone 14 wanauza laki 6. Wanasema duka liko Zanzibar lakini kwenda kwenye comments nikakuta wamefunga
Nikasave post alafu nikawafollow nikasema mwisho wa mwezi nitanunua
Siku mbele naona mshikaji wangu ananitumia reel ananiuliza hawa jamaa unawajua maana nimeona umewafollow. Nikamwambia siwajui ila nimeona bei zao ni chee kwa hiyo nataka mwisho wa mwezi ninunue
Jamaa akaniambia hao jamaa ni matapeli na ndo maana wamefunga comments ili watu wasijue utapeli wao. Yeye aliona Iphone 11 kwa laki 3 na nusu akatuma pesa mpaka leo hajawahi kutumiwa hiyo simu
Tukae kitaalamu!
Hasa wanawake wamezidiTatizo ni kupenda vitu vya gharama kwa bei rahisi.
Nawatumia sana alibaba na wao kazi yao ni kukulinda wewe mnunuzi.Niliagiza sample china kupitia Alibaba nikalipia lak 1 na nusu ikaja ikabaki kulipia mzigo ambao ni kama milion 2 na nusu hivi aaah wapi nafsi ikahoma nikanunua hapa hapa bongo
Pesa inauma aisee hasa ukitapeliwa
Nilitaka kuagiza bati nimeona bei zao kwa bando au pcs ni ndogo sana ila nikahofia ubora naweza kuletewa low quality tofauti na ile ilotangazwa paleNawatumia sana alibaba na wao kazi yao ni kukulinda wewe mnunuzi.
Umenikumbusha kuhusu Biashara za Kabati, nilifanya utafiti Mjini Dar niliandika na Uzi.Nilitaka kuagiza bati nimeona bei zao kwa bando au pcs ni ndogo sana ila nikahofia ubora naweza kuletewa low quality tofauti na ile ilotangazwa pale
Wajinga mpo wengi hapa dunianiKuna siku Insta niliona Iphone 14 wanauza laki 6. Wanasema duka liko Zanzibar lakini kwenda kwenye comments nikakuta wamefunga
Nikasave post alafu nikawafollow nikasema mwisho wa mwezi nitanunua
Siku mbele naona mshikaji wangu ananitumia reel ananiuliza hawa jamaa unawajua maana nimeona umewafollow. Nikamwambia siwajui ila nimeona bei zao ni chee kwa hiyo nataka mwisho wa mwezi ninunue
Jamaa akaniambia hao jamaa ni matapeli na ndo maana wamefunga comments ili watu wasijue utapeli wao. Yeye aliona Iphone 11 kwa laki 3 na nusu akatuma pesa mpaka leo hajawahi kutumiwa hiyo simu
Tukae kitaalamu!
Tatizo mnakosea katika specifications. Lazima uwe makini na kila kitu utumie app ya alibaba. Hakikisha unampatia supplier wako details za unachokitafuta. Wachina ni wajanja sana. Na hakikisha malipo yanapitia Alibaba. Akisema nipe whatsapp number yako tuwasiliane, kataa ili baadaye mawasiliano yenu iwe ni ushahidi endapo atataka kukutapeli.Nilitaka kuagiza bati nimeona bei zao kwa bando au pcs ni ndogo sana ila nikahofia ubora naweza kuletewa low quality tofauti na ile ilotangazwa pale
Sana! Ndio maana nikagairi maana mzigo ukishakuja huwezi rudisha kirahisi nikaona bora nipambane na wabongo japo nao kwenye hiyo sekta kuchomoka ni shida watu wanaishi kwa ukanjanja sana mjiniUmenikumbusha kuhusu Biashara za Kabati, nilifanya utafiti Mjini Dar niliandika na Uzi.
Watu wengi sana wanapigwa kwenye ubora na vipimo
Hapa sijaelewa mkuu hebu fafanua kidogoPia akikuuliza unataka kutumia wapi, sema EU au USA; hapo utapata quality nzuri bila kipingamizi. Ukisema Tanzania, hapo simo
Nchi za EU au Marekani hawaruhusu bidhaa duni. Hivyo Wachina wanaogopa kukupatia bidhaa feki maana itakula kwao.Hapa sijaelewa mkuu hebu fafanua kidogo
Sasa utasemaje Eu au Marekani na mzigo watakiwa uje tz hapo ndio sijaelewaNchi za EU au Marekani hawaruhusu bidhaa duni. Hivyo Wachina wanaogopa kukupatia bidhaa feki maana itakula kwao.
Wahuni wamejaa zao hapo Buguruni wanakupangaš¤£š¤£Ukisha ona habari za bidhaa toka pemba sijji zenji jua amna kitu apo