Ukiagiza mzigo china, wao wanapeleka kwa forwarder. Forwarder kama Silent Ocean ndiye anajua ni wapi unaenda. Supplier kazi yake kufikisha kwa forwarder tu. Hata kama wao wanaleta hadi Tanzania. Kuhusu wapi mzigo unaonunua unakwenda huwa wanakuuliza mwanzoni. Na hata pale mwishoni akijua unakuja TZ, unamwambia utaenda UK kupitia TZ. Ni njia ya kujihami bwasheeSasa utasemaje Eu au Marekani na mzigo watakiwa uje tz hapo ndio sijaelewa
Ulisema upo US na upo Tz mzigo utatumwa Us ama Tz?Ukisema Tanzania, hapo simo
Kwa ile sample niliyoagiza waliituma kwa ndege wao wenyewe nikaifuata ofisi za kampuni moja ya usafirishaj wa anga nimeisahau jinaUkiagiza mzigo china, wao wanapeleka kwa forwarder. Forwarder kama Silent Ocean ndiye anajua ni wapi unaenda. Supplier kazi yake kufikisha kwa forwarder tu
Buguruni kuna madalali aisee sijawahi ona yani hata ukienda kiwandani lazima ukutane nao tena wanajitambulisha kuwa menejaWahuni wamejaa zao hapo Buguruni wanakupanga🤣🤣
Buguruni ni noma, watu hawataki kufanya kazi wanataka Kuishi kwa ujanja ujanja tuBuguruni kuna madalali aisee sijawahi ona yani hata ukienda kiwandani lazima ukutane nao tena wanajitambulisha kuwa meneja
Sijui kwanini serikali inaruhusu huu udalali wa utapeli, wapo maeneo mengi sana mfano Mbezi stand ya mabasi na Bandari ya Dar kwenda Zanzibar yani mteja/abiria ukienda huna uhuru wanakuzonga balaaBuguruni ni noma, watu hawataki kufanya kazi wanataka Kuishi kwa ujanja ujanja tu
Wanakuvaaa kama vile sisimizi kwenye mkojoSijui kwanini serikali inaruhusu huu udalali wa utapeli, wapo maeneo mengi sana mfano Mbezi stand ya mabasi na Bandari ya Dar kwenda Zanzibar yani mteja/abiria ukienda huna uhuru wanakuzonga balaa
Pole sana kwa kukuchelewesha, nilikuwa nakata majani ya kulisha ng'ombe wa boss.Ulisema upo US na upo Tz mzigo utatumwa Us ama Tz?
Naomba kueleweshwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Matapeli wengine ni wale wanauza mabando bei ya kitonga,uki clixk page zao direct zinakupeleka Wsp
Boss naonba nije dm unipe shule ya kufanya importation...au hata hapa ukinielezea pia itakuwa unyamaPole sana kwa kukuchelewesha, nilikuwa nakata majani ya kulisha ng'ombe wa boss.
Hii nimesema ni katika negotiations, hususan kama mtu huna uhakika kabisa na unachoagiza ili kuwaweka wogo wakupe bidhaa safi siyo fake. Of course ukiwaeleza hivyo, bei inakuwa tofauti. Katika bei huwa wanakuuliza kama unatumia forwarder nchini China au wao wakupelekee unapopeleka mzigo. Unawaeleza peleka mfano Silent Ocean. Wao siyo kazi yao kujua Silent Ocean atapeleka wapi. Sana sana wanaandika Shipping Mark katika mzigo na kwa kawaida ni simu yako na jina lako.
Kiukweli wana wateja wengi, kufuata umbea huwa hawana sana sana. Mimi Mara nyingi hutumia trick hii kama sina uhakika au kuuliza AI
Mimi nimepigwa mara nyingi na ushamba wanguUkikakaa kihasara hasara unapigwa kwelikweli...