Kuweni makini na huyu mtu

Ukute hata kigogo ni kitengo.[emoji1787]
Hapana,Kigogo siyo kitengo,yupo kitengoni kweli ila yupo upande wa kundi la wananchi wanyonge, Kigogo ni really actvist ndo maana hajulikani hata kwa Sura,lile boya lipo wazi Sura yake halafu linajiita "Spy"Tangu lini Spy akaji expose Publicly?
 
Usitupangie marafiki sw
 
Ila duniani ishi utaona makubwa. So ule ujinga na kukosa ubinadamu kabisa ndo kuwa upande wa wananchi. Wananchi wa wapi. Danguroni au wavutaji. Mana Hakuna mtu mstaarabu anakuwa hivyo. Unapopambana kwanza hukimbii na kujificha na kuanza kuimba taarabu. Afu activist gani anakuwa na Chama cha Siasa. Maslahi yake yatawezaje kujigawa.
 
Kigogo alimuua nani? Kigogo alimfunga nani? Kigogo alimpoteza nani?
Wewe kila mkosoaji wa Serikali ni mtu mbaya kwako,sasa mnataka Kigogo ajulikane ili mumuue Kama Ben Saanane.
Kigogo analindwa na Mungu ili awafumbue watu upumbavu wa CCM
 
Kigogo alimuua nani? Kigogo alimfunga nani? Kigogo alimpoteza nani?
Wewe kila mkosoaji wa Serikali ni mtu mbaya kwako,sasa mnataka Kigogo ajulikane ili mumuue Kama Ben Saanane.
Kigogo analindwa na Mungu ili awafumbue watu upu

mbavu wa CCM
Nani kauliwa au kudhuriwa na hii serikali?
Ben Sa nane Sijui tisa huko aliko anajua,toka siku anajitangaza kuwa member hapa JF alikua na kesi toka kwa bibi mmoja kkoo.
Ni kibwamdogo kimoja barobaro sijui kimesoma India kikawa na speed sana.
Tulikiambia piga poo,kikaendelea ndo mpk kupotea,na kilipotezwa na wenzie huko huko Chandema.
 
Oh my fvcking god. This SOAB talk sh!t
 
Hapana,Kigogo siyo kitengo,yupo kitengoni kweli ila yupo upande wa kundi la wananchi wanyonge, Kigogo ni really actvist ndo maana hajulikani hata kwa Sura,lile boya lipo wazi Sura yake halafu linajiita "Spy"Tangu lini Spy akaji expose Publicly?
Weka picha. Mie simjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…