Kuweni makini na huyu mtu

Tatizo hamtumii akili. Mnawaona Watanzania maf*la. Muda huu watu wanataka kufahamu Jiwe yu hai au la nyie mnaleta porojo zenu. Mmewalisha watu matango pori kwa stori za kutengenezwa na TISS kuwa Jiwe yupo Nairobi mara yupo India, na sasa mnatafuta pa kutokea.

Mngekuwa na akili nzuri mngesubiri hili jambo kubwa lipite ndo mhangaike nami, maana jitihada zenu kwa sasa zinawaumbua tu - wenye akili wanajiuliza "ah mbona hawa wanamwandama huyu anayejibidiisha kutufahamisha kinachoendelea chini ya kapeti"? Tatizo mmejipa hatimiliki ya ukweli, mnapokosa cha kudanganya watu basi kila anayeeleza ukweli anakuwa mbaya wenu. Acheni kutumika.

Pia kwa taarifa tu, Kitengo kimefanya bidii endelevu dhidi yangu kwa miaka lukuki lakini hawajafanikiwa. Musiba nae kahangaika mno lakini ndo kwanza ananiongezea followers. Nina kitu ambacho ninyi hamna: INTELLIGENCE.
 
Unamzungumzia chahali?
Ananiongelea mimi lakini anaogopa hata kutaja jina
Hapana,Kigogo siyo kitengo,yupo kitengoni kweli ila yupo upande wa kundi la wananchi wanyonge, Kigogo ni really actvist ndo maana hajulikani hata kwa Sura,lile boya lipo wazi Sura yake halafu linajiita "Spy"Tangu lini Spy akaji expose Publicly?
Umejuaje kama wewe sio yeye?
 

Kwa hiyo na wewe bado huna uhakika kama kafa au yu mzima? Maana kwa post zako unathibitisha bila shaka kua rais keshakufa. Inawezekana kweli unakitu ambacho wengi hatuna ila tumia hicho kitu chako kuthibitisha habari kabla hujapost. Au ndo unataka uonekane mjuaji kuliko wengine mzeebaba. Unaanza kupoteza trust za wasomaji wako
 
Don’t ever trust anybody hata kigogo mimi sijawahi muamini. Unaye msemea hi huyu
 
Kumbe ni member humu, nikajua Twitter tu. Hapa Sasa tuendelee kuzijua mbivu na mbichi , mwageni ung'eng'e Sasa Mana watu bado tunapressure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nime ku quote hapo "unapopambana kwanza hukimbii na kujificha"
well katika kitabu cha art of war by sun tzu, kuna mahali anasema "all warfare is based on deception", pengine anandika "strategy without tactics is the slowest route to victory. Tactics without strategy is the noise before defeat".
kuhide sio kukimbia vita, ni tactics.. na no deception.
but pia huwez shinda vita bila mkakati au mbinu.

harakati za kigogo sizishabikii.. but he conducts his operation thats interesting.
 
tell them bro
 
tell them bro
Ukiangalia huyu mwamba, amekuwepo TISS kama mika 13 na yupo pia nje ya TISS kwa miaka 13 kama mahesabu yangu sawa sawa.. vyanzo vyake vya taarifa na uhakika wa hizo taarifa upoje ? Hii inafanya kazi na kwa kina Kigogo pia, huyo ndio atujui katoka huko lini na alikuwa na wadhifa upi na masalia kiasi gani anayo huko na je bado yapo active au nayo wame yamwaga.. wasichekana wala kutukanana --- wote hawapo jikoni
 
Kwani TISS wanategemea info kutoka kwao wenyewe au "kwa wengine"? By the way, information from oneself as a source isn't intelligence. It's an opinion.

Next question?
Nimeuliza tu mkuu. Maana pia niliangalia kitengoni umedumu kama miaka 13 na upo nje ya kitengo kwa 13. Nikawa najiuliza vyanzo vya taarifa zako.. kwa hii miaka 13 si inaweza ikawa vimetibuliwa tibuliwa sana. Ila kutokana na majawabu yako sawa. Acha nikabebe zege haya mambo yenu watu wazito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…