Kuweni makini na huyu mtu

in my own opinion sidhani kama wanashindana. however ninachoona ni scope ya malengo yao.
mmoja ni real activist.. mwingine anafanya kwa manufaa yake.
huyu real activist hayuko mwenyewe. and probably yuko deep within taasis yenyewe. na ana team yake.
mwingine hana access na deep informations
 
Na ndio ilivyo.
 
Deep state! Hii nchi ime train manguli waliosambaa nchi kibao za Africa! Labda bado chain of commands ipo (nje ya mfumo) na ndio wanao run nchi!

BTW, thanks for coming one of top JF respected member.
 
Chahali au?

Usimuamini mtu yeyote..jiamini mwenyewe hata huyo kigogo watu wanaomsema ni wale wale..
Sasa wewe unataka umwamini ili iweje,taarifa yoyote huanza kama speculation na badaye huthibitishwa at least yeye 70% zinathibitika badaye.
 
Atakuwa Chahali huyo... kwa great thinker huwez pata tabu kutambua ukweli wa ulichoandika. Ukipitia vizur tweet zake utajua kwamba bado ni mtu wa system.
 
Hapana,Kigogo siyo kitengo,yupo kitengoni kweli ila yupo upande wa kundi la wananchi wanyonge, Kigogo ni really actvist ndo maana hajulikani hata kwa Sura,lile boya lipo wazi Sura yake halafu linajiita "Spy"Tangu lini Spy akaji expose Publicly?
Kiongozi kigogo2014 sio mtu mmoja. Actually ni alias yenye watu wengi nyuma ila hawazidi 10. They are very smart and they know very much what they do. Be careful unapo process taarifa za kigogo.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Interesting
 
Watu wa aina pia hujulikana kama TRAPERS aka Ndoano. Wanarusha Ndoano yenye chambo ili kunasa wajinga.
 
Ume block kila mtu.

Mshamba sana we jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…