Kuweni makini na huyu mtu

Once a teacher, always a teacher. Kwenye intelijensia ni hivyo pia. Ukikipenda kitu, na ukakimudu, na ukajibidiisha kuji-keep up-to-date unaweza kuwa bora katika fani husika mpaka mwisho wa uhai. Pengine bora kuliko "waliopo kazini."
Mkuu nimekuwa nakufuatilia kwenye account yako ya Twitter. Info unazotoa za hali ya Magufuli nadhani ziko realible kuliko wengine. Ukizimjumlisha unapata angalau pa kuanzia. Keep it up!
 
Unaandika kama Chahali
 
Nipo na maswali mob chief.

Sijui hata kama utayajibu.

Ila i wanna know more about deep state ya Tanzania.
 
Huyo unaetuonya naye ni yupi wengine hatumjui


Sasa huu si use** naonya kitu wengine hatujui sasa tunajikinga vipi na kitu tusichokijua
 
Na Wewe kuwa km yeye
 
Unamzungumzia yule alikuwa Mhasibu wao enzi za JK, Mlugulu yule alikuwa ana pesa chafu za madili, alipigwa Risasi za kutosha na hadi leo waliomuua hawajulikani
 
Huna lolote. Mwanaume gani mtu akikuambia ukweli unamblock ?Nilikupa fact huko Twitter ukaniblock. Eti Magu kafa,uliosha maiti yake?
 

Wewe umejuaje au ni hisia tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…