Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Nawe umekula tofali 😀😀Ume block kila mtu.
Mshamba sana we jamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe umekula tofali 😀😀Ume block kila mtu.
Mshamba sana we jamaa.
Huyu mjinga hata Mimi alini block tangu 2016 bila kosa loloteAisee ndio nimegundua nimekula block pia duh! Sijawahi hata ku comment kwenye page yake [emoji23]
Kumekucha!Nadhani anamzungumzia spy wa jf
Mkuu nimekuwa nakufuatilia kwenye account yako ya Twitter. Info unazotoa za hali ya Magufuli nadhani ziko realible kuliko wengine. Ukizimjumlisha unapata angalau pa kuanzia. Keep it up!Once a teacher, always a teacher. Kwenye intelijensia ni hivyo pia. Ukikipenda kitu, na ukakimudu, na ukajibidiisha kuji-keep up-to-date unaweza kuwa bora katika fani husika mpaka mwisho wa uhai. Pengine bora kuliko "waliopo kazini."
Unaandika kama ChahaliYupo mmoja huko nyuma alipewa onyo la kunadili mwenendo wake juu ya mambo matatu aliyokuwa akiyaratibu..
Na wala hakunjua onyo lile limetoka wapi akaanza kufatilia lilikotoka..akapewa la pili na la tatu..kisha maamuzi yakafanyika toka gaboroune room 103..aliishia kula risas 14...
Wanaojua beacon za nchi hii sio diwan wala magifuli
Huyo jamaa ukiangalia profile yake halafu hukomment chochote, anakutia block.Huyu mjinga hata Mimi alini block tangu 2016 bila kosa lolote
Ni mpumbavuHuyo jamaa ukiangalia profile yake halafu hukomment chochote, anakutia block.
Hata kama hujamfollow anakublock.Aisee ndio nimegundua nimekula block pia duh! Sijawahi hata ku comment kwenye page yake [emoji23]
Nipo na maswali mob chief.Yupo mmoja huko nyuma alipewa onyo la kunadili mwenendo wake juu ya mambo matatu aliyokuwa akiyaratibu..
Na wala hakunjua onyo lile limetoka wapi akaanza kufatilia lilikotoka..akapewa la pili na la tatu..kisha maamuzi yakafanyika toka gaboroune room 103..aliishia kula risas 14...
Wanaojua beacon za nchi hii sio diwan wala magifuli
Usifananishe na kasha la yaiUnaandika kama Chahali
Na Wewe kuwa km yeyeYupo kwenye mtandao flani hivi maarufu Duniani,anajiita"Spy" Eti alikimbilia Ughaibuni lest he would be safe ,Eti akiwa Bongo atadhurika.
Huyo mtu ni HATARI zaidi ya nyoka,kazi yake kubwa ni kujifanya yupo Upinzani na mkosoaji wa Serikali,kumbe ni Traitor,na Bado yupo kitengoni, amekamatisha wengi mno waliodhani ni mwenzao kumbe ni Traitor.
Huko Ughaibuni pia yupo kikazi, na anajifanya Eti hajawahi kuja Bongo Tangu aondoke,kumbe mara kibao tu anakuja kwao na kula kambare Kama Kawa yaani.
Mambo anayoandika huko mtandaoni utaamini kabisa kuwa he's not part of the government's body kumbe yupo kazini.
Kazi kwenu.
Unamzungumzia yule alikuwa Mhasibu wao enzi za JK, Mlugulu yule alikuwa ana pesa chafu za madili, alipigwa Risasi za kutosha na hadi leo waliomuua hawajulikaniYupo mmoja huko nyuma alipewa onyo la kunadili mwenendo wake juu ya mambo matatu aliyokuwa akiyaratibu..
Na wala hakunjua onyo lile limetoka wapi akaanza kufatilia lilikotoka..akapewa la pili na la tatu..kisha maamuzi yakafanyika toka gaboroune room 103..aliishia kula risas 14...
Wanaojua beacon za nchi hii sio diwan wala magifuli
kumbe mara kibao tu anakuja kwao na kula kambare Kama Kawa yaani.
Watu mnamark hadi mwandikoHuu mwandiko ni wa mtu flani hvi kule twitter...
2014
Watu mnamark hadi mwandiko
Sishangai!Usifananishe na kasha la yai
Huna lolote. Mwanaume gani mtu akikuambia ukweli unamblock ?Nilikupa fact huko Twitter ukaniblock. Eti Magu kafa,uliosha maiti yake?Tatizo hamtumii akili. Mnawaona Watanzania maf*la. Muda huu watu wanataka kufahamu Jiwe yu hai au la nyie mnaleta porojo zenu. Mmewalisha watu matango pori kwa stori za kutengenezwa na TISS kuwa Jiwe yupo Nairobi mara yupo India, na sasa mnatafuta pa kutokea.
Mngekuwa na akili nzuri mngesubiri hili jambo kubwa lipite ndo mhangaike nami, maana jitihada zenu kwa sasa zinawaumbua tu - wenye akili wanajiuliza "ah mbona hawa wanamwandama huyu anayejibidiisha kutufahamisha kinachoendelea chini ya kapeti"? Tatizo mmejipa hatimiliki ya ukweli, mnapokosa cha kudanganya watu basi kila anayeeleza ukweli anakuwa mbaya wenu. Acheni kutumika.
Pia kwa taarifa tu, Kitengo kimefanya bidii endelevu dhidi yangu kwa miaka lukuki lakini hawajafanikiwa. Musiba nae kahangaika mno lakini ndo kwanza ananiongezea followers. Nina kitu ambacho ninyi hamna: INTELLIGENCE.
Yupo kwenye mtandao flani hivi maarufu Duniani,anajiita"Spy" Eti alikimbilia Ughaibuni lest he would be safe ,Eti akiwa Bongo atadhurika.