Kuweni makini na mchanga wa kaburini

Dini ya Mwenyezi Mungu inaruhusu kudili na haya mambo ya mchanga wa makaburi na mizimu?
 
Sijasoma yote Ila mkuu Kama vile kweli Ni taaluma yako. Mana sio kwa kuandika huko kote. Nisaidie ninasumbuliwa na bawasiri ya ndani. Nipone nilete ushuhuda hapa hapa jukwaani.
 
Ukitaka kujua ukweli chota mchanga wa kaburi weka sebuleni kwako.

Sote tutakuwa tayari kujifunza kutokana na yatakayokupata.

Ahsante PRUMPETI.
Sasa mchanga wa makaburini ukafanye nini sebuleni mkuu ni sawa na kusema weka mzoga wa fisi uvunguni alafu nisubiri kuona nini kitatokea kuna vitu havina maana hata kwa kuongea
 
Sisi wachaga kaburi unalchungulia ukiwa ndani yaani nyumba zetu na kaburi hazina umbali na mbona magonjwa hakuna, mikosi hakuna .hii inakaaje Dr?
 
Nyumba iliyojengwa na sehemu iliyoko na makaburi basi nyumba hiyo haikosi mikosi na vitu usiku kutembea tembea vituko vya nyumba haviishi katika hiyo nyumba inakuwa haina amani kabisa maradhi mikosi na mabalaa hayamaliziki katika hiyo nyumba.
Una washauri nini watu wa moshi maana kila nyumba ina makaburi na maisha yana enda
 
Mtoa mada kakimbia kaona Dili lake la uganga hapa limevamiwa
 
Lengo uonekane nawewe eti unabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…