Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo hovyo kabisa. Changia mada siyo kuleta utoto hapaLengo uonekane nawewe eti unabisha
Mimi kiumri ni kama marehemu baba yakoWewe ndiyo hovyo kabisa. Changia mada siyo kuleta utoto hapa
Tunawaza kulogana tuAcheni kuendeleza Imani potofu Kwa mambo ya kufikirika tu. Ndiyo maana afrika haiendelei
Mkuu kama hukupendezewa nayo hayo unayo yaita Makorokoro bora hata usingeandika Comment yako ungeangalia na kupita mbio kama gari la mashindano ya mbio za magari.Kuliko kuweka Comment yako ya maneno ya pumba hapa. Makorokoro kwako wewe hayana faida kwa wengine yana faida kubwa sana yapuuze Makorokoro yangu shika njia uende zako.mbona makorokoro yamekuwa mengii
[emoji44]Kuna watu walienda kuhiji Uganda wakaleta udongo wa kaburi la bibi mmoja huko. Watu wanadai wakiogea maji na huo udongo basi hupona magonjwa na manuksi yote. Nikapatiwa na mimi udongo nikauacha nje hivi kama mwezi
Mwezi ule vitu vilikuwa havienda. Mdogo wangu alikuja kulala home kwangu asubuhi ananiambia yani haelewi elewi mambo hayaendi. Nikawaza kitu gani cha tofauti nikahisi ni ule udongo tu. Lilivyopita gari la taka tu nikatupa nikaona mambo yanaend. .
Nakazia pia ni MAKOROKORO tu. Huu ni mwendelezo wa utapeli wa kindumba. Utawapata wasiyo na uelewa. Acha utapeliMkuu kama hukupendezewa nayo hayo unayo yaita Makorokoro bora hata usingeandika Comment yako ungeangalia na kupita mbio kama gari la mashindano ya mbio za magari.Kuliko kuweka Comment yako ya maneno ya pumba hapa. Makorokoro kwako wewe hayana faida kwa wengine yana faida kubwa sana yapuuze Makorokoro yangu shika njia uende zako.
Yampate na nani. Mmemezwa akili Kwa kufuata mambo bila fikira. Wajinga ndiyo waliwaoKama hayajakupata ......huwezi kuamini
Insha-Allah yatakukuta ndipo utajuwa kama ni utapeli au maneno yako ni ya pumba mpumbepumbe wewe.Nakazia pia ni MAKOROKORO tu. Huu ni mwendelezo wa utapeli wa kindumba. Utawapata wasiyo na uelewa. Acha utapeli
Kama hayajakupata ......huwezi kuaminiHuyo anayebisha ipo siku yatampata atajuta kuzaliwa
Hatuwazi mambo ya kurogana tunazungumzia mambo yanayofanywa na sisi Waafrika tabia na mwenendu wetu wa kila siku katika maisha. Ninawastuwa watu wapate kuamka.Ukiona mtu anabisha ujuwe huyo mtu ni mchawi .Nimetoa siri zake na hapendi watu wajuwe ndio maana anakasirika. Katika hapa Jamii Forums kuna Wachawi Waganga wa kienyeji ,Ma-Daktari, Wezi, Majambazi, Mashoga ,Mabasha Mafisadi,Mashetani, Majini kwa hiyo ukizungumzia maada fulani inayo mhusu mtu ikimuingia na yakimgusa anaweza kuipinga hata kama hayo maneno unayoyasema ni ya ukweli lakini lazima atayapinga kwani anahisi kama yeye umemueleza mambo anayoyafanya.Tuwe makini na mchanga wa Makaburi na Wachawi na Uchawi wenyewe.Tunawaza kulogana tu