Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
- #81
Akichota mchanga wa kaburi akija nao nyumbani yatamkuta mabalaa makubwa ambayo hakuwahi kuyaona katika maisha yake.Ukitaka kujua ukweli chota mchanga wa kaburi weka sebuleni kwako.
Sote tutakuwa tayari kujifunza kutokana na yatakayokupata.
Ahsante PRUMPETI.