Kuweni makini na mchanga wa kaburini

mbona makorokoro yamekuwa mengii
Mkuu kama hukupendezewa nayo hayo unayo yaita Makorokoro bora hata usingeandika Comment yako ungeangalia na kupita mbio kama gari la mashindano ya mbio za magari.Kuliko kuweka Comment yako ya maneno ya pumba hapa. Makorokoro kwako wewe hayana faida kwa wengine yana faida kubwa sana yapuuze Makorokoro yangu shika njia uende zako.
 
[emoji44]
 
Nakazia pia ni MAKOROKORO tu. Huu ni mwendelezo wa utapeli wa kindumba. Utawapata wasiyo na uelewa. Acha utapeli
 
Kama hayajakupata ......huwezi kuaminiHuyo anayebisha ipo siku yatampata atajuta kuzaliwa

Tunawaza kulogana tu
Hatuwazi mambo ya kurogana tunazungumzia mambo yanayofanywa na sisi Waafrika tabia na mwenendu wetu wa kila siku katika maisha. Ninawastuwa watu wapate kuamka.Ukiona mtu anabisha ujuwe huyo mtu ni mchawi .Nimetoa siri zake na hapendi watu wajuwe ndio maana anakasirika. Katika hapa Jamii Forums kuna Wachawi Waganga wa kienyeji ,Ma-Daktari, Wezi, Majambazi, Mashoga ,Mabasha Mafisadi,Mashetani, Majini kwa hiyo ukizungumzia maada fulani inayo mhusu mtu ikimuingia na yakimgusa anaweza kuipinga hata kama hayo maneno unayoyasema ni ya ukweli lakini lazima atayapinga kwani anahisi kama yeye umemueleza mambo anayoyafanya.Tuwe makini na mchanga wa Makaburi na Wachawi na Uchawi wenyewe.
 
Nimekumbuka miaka ya nyuma mama ilienda kwenye sherehe ya rafiki yake.Wakati anakaribia alimuona ndugu wa rafiki yake akichota udongo nje ya geti la rafiki yake kisha akaondoka nao.Kwa rafiki yake matatizo hayaishagi watoto wake wote wamezalia nyumbani,wakiolewa hawadumu wanaeudi nyumbani kijana wake mkubwa pia alifukuzwa kazi sijui ikiwa kwa sasa kashapata kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…