Kuweni makini na mchanga wa kaburini

Ukitaka kujua ukweli chota mchanga wa kaburi weka sebuleni kwako.

Sote tutakuwa tayari kujifunza kutokana na yatakayokupata.

Ahsante PRUMPETI.
Akichota mchanga wa kaburi akija nao nyumbani yatamkuta mabalaa makubwa ambayo hakuwahi kuyaona katika maisha yake.
 
Kusingekuwa na dini, waafrika karibu wote wangekuwa wanga...
 
Hi ngozi nyeusi Inashida sana wenzetu Wazungu wanaendelea kurusha drones na kugundua 5G sisi bado tunahangaika na mchanga wa makaburini na njiapanda dume na jike
😂😂😂
 
Unanionea wivu nini? kuweka siri za wachawi?au wewe pia mmojawapo wa Wachawi? nimetoa siri yako? Wewe ndio huna hata haya .
Sorry mkuu aisee sikujua kama ni wewe coz umebadilisha avatars yako..yani nilikuwa najua ni mtu mwingine amecopy kwa mzizimkavu nisamehe sana maalimu. Comment yangu nimeshaifuta tayari naomba na wewe uifute hii.

Back to the topic: umeongea ukweli mtupu ila wajinga watabisha
 
kuwa na kaburi kwa nje ya nyumba sio mbaya lakini kujenga nyumba mahali unajuwa hicho kiwanja kulikuw ana makaburi hapo unatafuta matatizo yako.
Unajua kama maaskofu wanazikwa kanisani?

St.Joseph Cathedral kuna kaburi ukiingia ndani.

Kadinali Pengo akifariki ametaka azikwe kanisa la Pugu.

Hayo mabalaa yenu mbona hamna?imani tu za ushirikina.
 
Chai
 
[emoji848][emoji848][emoji848], Dunia Ina mengi tembea uone.[emoji125][emoji125]
 
Je
Nyumba iliyojengwa na sehemu iliyoko na makaburi basi nyumba hiyo haikosi mikosi na vitu usiku kutembea tembea vituko vya nyumba haviishi katika hiyo nyumba inakuwa haina amani kabisa maradhi mikosi na mabalaa hayamaliziki katika hiyo nyumba.
Je kama ni makaburi ya familia
 
Kumbe Waislamu huwa wana tambika makaburini kwa kutumia pombe, kumbuka matambiko ni ushirikina.
 
Tawire
 
Hakuna upuzi na ujinga ujinga kama huo kwenye matatizo msuruhishi ni YESU TUU PEKEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…