Kuweni makini na vyakula vya njian hasa safari ndefu

Kuweni makini na vyakula vya njian hasa safari ndefu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!

Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha, mara chipsi

Alipofika Mombo akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo na ndizi za kuchoma za elfu mbili! Baadae Akaomba na maziwa ya mtindi akashushia!

Baadae alifika kwake tu, akapokelewa na familia yake kwa furahaa , akaelelekea chumbani kwake kaingia bafuni akamuomba maji ya kuoga kwa mkewe.

ile anapewa maji kuoga pale pale, akuchelewa akaoga, akaoga vizuri mpaka mwisho.

baada ya kuoga akajumuika na familia, basi ile anakaa tu sebleni akawaambia familia yake tuombe tumshukuru Mungu kwa siku nzima aliotujalia.

wakasali Pamoja na kushiriki kula tena Chakula cha usiku.

Walipo maliza kula chakula cha jioni tu, akawaomba familia yake wasali pamoja kwaajili ya kwenda kulala.

ile Kufika Asubuhi, jamaa kaamka kaoga, kavaa vizuri akaelekea ktk shughuli zake za kila Siku.

Yaani ile anafika kazini kwake, siku nzima akaendelea na kazi zake vizuri Kama kawaida .... kwa ujumla Jamaa Yuko vizuri kiafya.asanten Sana kwa mda wenu🤣

Jpili njema wote
 
JF siku hizi tuna elekea wapi sijui.. anyway pelekeni chit chat hizi pumba
 

CP
 
Back
Top Bottom