Kuweni makini na wanaojipima HIV kabla ya tendo

Kuweni makini na wanaojipima HIV kabla ya tendo

Hivi mtu unapopima unatafuta nin hasa??binafsi si muumin kabisa wa hil tendo:kumbuka hata ukipima hakika kufa utakufa#obheja
Kufa utakufa kwa wakati wako lakini sio kumjaribu Mungu, kama umeambiwa zuia hii kitu hautaumwa zuia sio kwasababu kufa kupo ndiyo ujiendee endee hapana, Mungu mwenyewe alisema msile tunda la mti wa kati hakika mtakufa
 
Wasalam

Rafiki yangu mmoja alikuwa mzee wa totozi mawazo mgando akiamini kuwa nurse au daktari yoyote huwa hawapati HIV kwa vile ndio wataalam.

Akawa amempenda Nurse anayemzidi umri kidogo ,wakaanzisha mahusiano kama miezi kadhaa kwa vile nurse alikuwa mbali na yeye alikuwa anamueleza kuwa akija atampima ndo amuruhusu kumla kisongonyi.

Siku huwa hazigandi nurse akaja kumtembelea jamaa yangu ,kabla ya kulala naye yule nurse akampima na kumwambia jamaa yuko negative na nurse nae akamwambia yupo salama Kwa vile jamaa yangu hajui mchanga na jiwe. Test and control ya kile kipimo aliamini vipimo akamla nurse kavu.

Jamaa yangu akamla nurse kama siku tatu hivi. Siku zimeenda siku zimerudi ikawa ni kutembeleana na kulala.

Siku moja nurse alikuja ghetto kwa jamaa na dawa za HIV. Pap jamaa akaona dawa kwenye mkoba wa nurse maneno yenye ukakasi zipo kwenye kopo ...jamaa akadhani ameletewa ameze,kumuuliza nurse wake ,nurse akamjibu aliiba kazini ili akaziuze kwa wale wagonjwa ambao wanaona aibu kwenda kuchukua dawa clinic .

Kila mara nurse alikuwa anampima jamaa kwa siku za kutembeleana alipogundua jamaa tayari ni positive ndo akazidisha mapenzi mlo kamili wa mwili na akili vikazidi miaka akaenda miaka ikasonga siku moja yule nurse alimletea dawa jamaa yangu kama kopo 6 hivi na siku ya mwisho kunyandua nurse akamwambia jamaa atumie condom kwa vile yupo kwenye danger .

Na hiyo ndo ikawa siku ya mwsho jamaa kumuona na nurse na ndo siku nurse alimtumia jamaa sms ya neno moja tu .Kunywa mbaazi nimeacha hapo uvunguni.

Vijana kuweni makini na hao manesi wa kike wanaowapima na ku-fake majibu kumbe wana nia ovu ..kama hujui kipimo tembelea hata youtube na Google utajua test na control humaanisha ..
Ww ni liongo la karne. Acha kutisha watu na stori zako za kutunga. Haiji akilini mtu anajijua yupo +ve ajipime mbele ya mtu asiejua status yake then et wanyanduane na mwisho mwanamke akiri mwenyewe kuwa kuwa amemwambukiza na et aanze kutumia mbaazi.. uongo mtupu
 
Kweli ni kosa la jinai kumuambukiza mtu kwa makusudi.
Jamaa embu atutue tumeshafika tunakoenda.
 
Aswaa huyu jamaa ametupiga kamba hapa
Ww ni liongo la karne. Acha kutisha watu na stori zako za kutunga. Haiji akilini mtu anajijua yupo +ve ajipime mbele ya mtu asiejua status yake then et wanyanduane na mwisho mwanamke akiri mwenyewe kuwa kuwa amemwambukiza na et aanze kutumia mbaazi.. uongo mtupu
 
Ww ni liongo la karne. Acha kutisha watu na stori zako za kutunga. Haiji akilini mtu anajijua yupo +ve ajipime mbele ya mtu asiejua status yake then et wanyanduane na mwisho mwanamke akiri mwenyewe kuwa kuwa amemwambukiza na et aanze kutumia mbaazi.. uongo mtupu
Ninyi ndo mwongozo wa jamii forum unawakataa mtu humjui ameshea true story bado unasema uongo...haya lete yako yenye ukweli
 
Mmmh! Umalaya utatumaliza aisee.. Vijana haswaa Wanaume wenzangu tuache hii tabia.. Hawa ndugu zetu hawana huruma na kiumbe Cha mtu, atakupotezea muda wako, Pesa zako na kuharibu future yako kwa kipi!! Raha ya Nusu saa..?
Unajua fumbo la Ngono Ni Kama fumbo la njaa.. Sema kimoja Ni Muhimu Ila process zinafanana..
Utapiga mbupu weeeee na hakuna Siku utafaidika.. Bora hata kula utamaintan uhai, Ngono utapata nn?
Aisee papuchi ni tamu sana
 
Back
Top Bottom