Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Kipindi unapiga papuchi usikie kakohoa, lazima isinyae kwa sekunde kwanza.Aisee papuchi ni tamu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi unapiga papuchi usikie kakohoa, lazima isinyae kwa sekunde kwanza.Aisee papuchi ni tamu sana
Achana na kitu inaitwa "nyege' inavuruga mpangilio mzima wa maishaMmmh! Umalaya utatumaliza aisee.. Vijana haswaa Wanaume wenzangu tuache hii tabia.. Hawa ndugu zetu hawana huruma na kiumbe Cha mtu, atakupotezea muda wako, Pesa zako na kuharibu future yako kwa kipi!! Raha ya Nusu saa..?
Unajua fumbo la Ngono Ni Kama fumbo la njaa.. Sema kimoja Ni Muhimu Ila process zinafanana..
Utapiga mbupu weeeee na hakuna Siku utafaidika.. Bora hata kula utamaintan uhai, Ngono utapata nn?
Siku hizi kidonge kimoja miezi sitsView attachment 1467485Sio issue tena ikitokea umepata sio mwisho wa maisha kidonge kimoja kwa siku maisha yanaendela. Kama hupo salama endelea kujichunga ugonjwa upo. Rough games tuache, ukishindwa kujizuia tumia kinga.
Achana na kitu inaitwa "nyege' inavuruga mpangilio mzima wa maisha
Haitaonekana na utaambukizwa..hicho kipindi ambacho mtu huambukizwa na mpk pale ukimwi unapoanza kuonekana ktk vipimo hvyo huitwa "window period',na inaweza kuchukua muda wa mwezi mmoja mpk 6 kwa baadhi ya watu japo wengi ni miezi mitatu tu...Wakuu mfano mtu kapata HIV leo alafu baada ya wiki ukimpima itaonekana na Je baada ya hio wiki mkisex ata kuambukiza? Nawasilisha
Sio kweli boss, Kirusi ili kikuambukize lazma kiwe kimeingia kwenye mfumo wa damu na kikiwa kwenye mfumo wa damu lazma kionekane kwenye vipimo. Kama ingekuwa hivi unavyosema asilimia 90 tungekuwa waathirika.Haitaonekana na utaambukizwa..hicho kipindi ambacho mtu huambukizwa na mpk pale ukimwi unapoanza kuonekana ktk vipimo hvyo huitwa "window period',na inaweza kuchukua muda wa mwezi mmoja mpk 6 kwa baadhi ya watu japo wengi ni miezi mitatu tu...
Ktk kipindi hiki ambacho ukimwi hauonekani ktk vipimo ndicho kipindi virusi huzaliana kwa Kasi Sana na mgonjwa huwa na uwezo wa kumwambukiza mtu mwingine kwa haraka Sana..
Hivyo Basi kupima ukimwi kabla ya tendo hakukufanyi ujue Kama mtu ni muathirika au sio Kama tu mtu huyu kaambukizwa ndani ya siku au wiki chache nyuma Bali inasaidia kujua ukimwi kwa mtu ambaye n mgonjwa tyr wa muda mrefu kidogo....
Tuchukue tahadhari
Nmeamua kueka kipimo ndani kwangu siku hizWasalam
Rafiki yangu mmoja alikuwa mzee wa totozi mawazo mgando akiamini kuwa nurse au daktari yoyote huwa hawapati HIV kwa vile ndio wataalam.
Akawa amempenda Nurse anayemzidi umri kidogo ,wakaanzisha mahusiano kama miezi kadhaa kwa vile nurse alikuwa mbali na yeye alikuwa anamueleza kuwa akija atampima ndo amuruhusu kumla kisongonyi.
Siku huwa hazigandi nurse akaja kumtembelea jamaa yangu ,kabla ya kulala naye yule nurse akampima na kumwambia jamaa yuko negative na nurse nae akamwambia yupo salama Kwa vile jamaa yangu hajui mchanga na jiwe. Test and control ya kile kipimo aliamini vipimo akamla nurse kavu.
Jamaa yangu akamla nurse kama siku tatu hivi. Siku zimeenda siku zimerudi ikawa ni kutembeleana na kulala.
Siku moja nurse alikuja ghetto kwa jamaa na dawa za HIV. Pap jamaa akaona dawa kwenye mkoba wa nurse maneno yenye ukakasi zipo kwenye kopo ...jamaa akadhani ameletewa ameze,kumuuliza nurse wake ,nurse akamjibu aliiba kazini ili akaziuze kwa wale wagonjwa ambao wanaona aibu kwenda kuchukua dawa clinic .
Kila mara nurse alikuwa anampima jamaa kwa siku za kutembeleana alipogundua jamaa tayari ni positive ndo akazidisha mapenzi mlo kamili wa mwili na akili vikazidi miaka akaenda miaka ikasonga siku moja yule nurse alimletea dawa jamaa yangu kama kopo 6 hivi na siku ya mwisho kunyandua nurse akamwambia jamaa atumie condom kwa vile yupo kwenye danger .
Na hiyo ndo ikawa siku ya mwsho jamaa kumuona na nurse na ndo siku nurse alimtumia jamaa sms ya neno moja tu .Kunywa mbaazi nimeacha hapo uvunguni.
Vijana kuweni makini na hao manesi wa kike wanaowapima na ku-fake majibu kumbe wana nia ovu ..kama hujui kipimo tembelea hata youtube na Google utajua test na control humaanisha ..