Kuweni makini na wanaojipima HIV kabla ya tendo

Wakuu mfano mtu kapata HIV leo alafu baada ya wiki ukimpima itaonekana na Je baada ya hio wiki mkisex ata kuambukiza? Nawasilisha
 
Achana na kitu inaitwa "nyege' inavuruga mpangilio mzima wa maisha
 
Achana na kitu inaitwa "nyege' inavuruga mpangilio mzima wa maisha

Na ndo hicho kinachotuua aisee.. I wish kungekua na uwezo wa kuzitoa Hizo Nyege mtu ubaki free tu aisee maana hata Mwenzi wa ndoa na yeye haaminiki! Unaeza oa lakini bado ukimwi ukaletwa ndani
 
Duh inahuzunisha Sana. Ila no way out but unatakiwa umpe ushauri mzuri Kati ya kutumia panga au bastola
 
Huu Uzi ushaniharbia weekend yangu in advance
 
nahisi kuna chumvi imeongezwa hapa bado nagoma kuamini hii habari, kwa wale tunaopima mara kwa mara na tunaotembea na HIV kits tunajua ukipima majibu ya vile vipimo lazma ugundue utofauti.

Ina maana huyu alizibwa macho?
 
Wakuu mfano mtu kapata HIV leo alafu baada ya wiki ukimpima itaonekana na Je baada ya hio wiki mkisex ata kuambukiza? Nawasilisha
Haitaonekana na utaambukizwa..hicho kipindi ambacho mtu huambukizwa na mpk pale ukimwi unapoanza kuonekana ktk vipimo hvyo huitwa "window period',na inaweza kuchukua muda wa mwezi mmoja mpk 6 kwa baadhi ya watu japo wengi ni miezi mitatu tu...
Ktk kipindi hiki ambacho ukimwi hauonekani ktk vipimo ndicho kipindi virusi huzaliana kwa Kasi Sana na mgonjwa huwa na uwezo wa kumwambukiza mtu mwingine kwa haraka Sana..

Hivyo Basi kupima ukimwi kabla ya tendo hakukufanyi ujue Kama mtu ni muathirika au sio Kama tu mtu huyu kaambukizwa ndani ya siku au wiki chache nyuma Bali inasaidia kujua ukimwi kwa mtu ambaye n mgonjwa tyr wa muda mrefu kidogo....

Tuchukue tahadhari
 
Sio kweli boss, Kirusi ili kikuambukize lazma kiwe kimeingia kwenye mfumo wa damu na kikiwa kwenye mfumo wa damu lazma kionekane kwenye vipimo. Kama ingekuwa hivi unavyosema asilimia 90 tungekuwa waathirika.

Hizi elimu zinatolewa bure kabisa mahospitalini kwenye madawati ya Ukimwi nenda utapata elimu zaidi
 
Nmeamua kueka kipimo ndani kwangu siku hiz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…