Wale wote wenye muonekano mbovu ndiyo huwa wanajifanya wana maadili mema, eti ndo maana hawapost picha zao mitandaoni.
Lkn ukiwachimbua deep down ndani ya mioyo yao ni kwamba wanatamani nao kufanya hizo show off lkn sura zao mbovu.
Mitandao ndiyo mbadala wa albums za picha mnato tulizokuwa tunaweka majumbani. Sasa wewe hutumii unadai eti una maadili. Maadili konyo!
Sema ukweli tu kwamba una sura ya zamadamu.