Si kila Mtu ana kipaji cha kuongea mbele za Watu kama akina Haji na Mwijaku ndivyo pia ilivyo kwa Watu wengine kutokuwa na swaga za kishamba za kuuza uza sura kwenye social media kama Watoto.Wale wote wenye muonekano mbovu ndiyo huwa wanajifanya wana maadili mema, eti ndo maana hawapost picha zao mitandaoni.
Lkn ukiwachimbua deep down ndani ya mioyo yao ni kwamba wanatamani nao kufanya hizo show off lkn sura zao mbovu.
Mitandao ndiyo mbadala wa albums za picha mnato tulizokuwa tunaweka majumbani. Sasa wewe hutumii unadai eti una maadili. Maadili konyo!
Sema ukweli tu kwamba una sura ya zamadamu.
Tupostie ya kwako Ili mabasha waitadhiminiWale wote wenye muonekano mbovu ndiyo huwa wanajifanya wana maadili mema, eti ndo maana hawapost picha zao mitandaoni.
Lkn ukiwachimbua deep down ndani ya mioyo yao ni kwamba wanatamani nao kufanya hizo show off lkn sura zao mbovu.
Mitandao ndiyo mbadala wa albums za picha mnato tulizokuwa tunaweka majumbani. Sasa wewe hutumii unadai eti una maadili. Maadili konyo!
Sema ukweli tu kwamba una sura ya zamadamu.
😂😂😂😂🙌Ni hobby ya mtu tu,binafsi sipendi kabisa hiyo kitu lakini sio kwamba ni sura mbaya,ni handsome la kijiji,
Mleta mada huyu hapa
Handsome la Kijiji🤣Ni hobby ya mtu tu,binafsi sipendi kabisa hiyo kitu lakini sio kwamba ni sura mbaya,ni handsome la kijiji,
Mleta mada huyu hapa🤣🤣🤣
Asante mkuu. Wewe ndiye umeongea ukweli wa mwenyezi MunguHii ni kweli watu ambao hawajiamini muoekano wao hawajipost