Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Ni kweliHakudaga mtu mwenye sura mbaya!
Usikosoe uumbaji wa Mungu.
Hakuna alojiumba kila mtu kajikuta yupo alivyo.
Hii imekaa kimbingu na kiroho zaidi lkn hapa duniani Kuna wazuri na wabaya wa muonekanoHakudaga mtu mwenye sura mbaya!
Usikosoe uumbaji wa Mungu.
Hakuna alojiumba kila mtu kajikuta yupo alivyo.
Ugly vs beautifulHii imekaa kimbingu na kiroho zaidi lkn hapa duniani Kuna wazuri na wabaya wa muonekano
Mkuu ubaya wa muonekano unapimwa kwa macho tu. Kama sura imekaa utadhani unajisaidia haja kubwa wewe ni mbaya.Ubaya au uzuri unaupimaje?
Kwa kuangalia tu ?
Kila mtu atakuwa na namna yake na sio hiyo yako utake iwe Kwa kila mtu!
Hapa umemaliza mjadala mkuu, Mimi sina cha kuongezeaSi kila Mtu ana kipaji cha kuongea mbele za Watu kama akina Haji na Mwijaku ndivyo pia ilivyo kwa Watu wengine kutokuwa na swaga za kishamba za kuuza uza sura kwenye social media kama Watoto.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unasuuzwa nafsi tu kwa likes na positive comments zikisifia muonekano wakohivi baada ya kuposti picha yako ni faida gani unapata? Au kuna kiasi cha pesa mnakipata kupitia hiyo mitandao?
kama lengo ni kupata positive feedbacks hata kama ningekuwa na muonekano mzuri nisinge post picha yangu.Unasuuzwa nafsi tu kwa likes na positive comments zikisifia muonekano wako
Hakudaga mtu mwenye sura mbaya!
Usikosoe uumbaji wa Mungu.
Hakuna alojiumba kila mtu kajikuta yupo alivyo.
Kwa upande mm kabla hata sijanawa uso napiga picha na kujiweka mitandaoni. Mungu kanijalia muonekano boraUtakuta Wewe unatumia lakini unajipiga filters za kufa mtu hata Kaka yako akionyeshwa picha yako anashindwa kukutambua nyumbani una rangi ya nyama choma kwenye mtandao una rangi ya kuku wa kukaanga