Kuweni wakweli tu. Sura zenu mbaya ndiyo maana hampost picha zenu mitandaoni

Yaani mwanaume unalilia kupost ama kupostiwa mtandaoni [emoji276]?,haya ni maajabu ya karne,mwanaume inatakiwa upost maghorofa,kampuni kubwa etc
 
Nna kama miaka kumi hivi sijapost picha mtandaoni Facebook
Kama ulifungua account ya Facebook miaka 10 iliyopita inamaana ishazeeka. Hivyo sura yako itakuwa imefubaa ndiyo maana hujipost
 
Kama ulifungua account ya Facebook miaka 10 iliyopita inamaana ishazeeka. Hivyo sura yako itakuwa imefubaa ndiyo maana hujipost

Cha ajabu kila miaka inavyozidi nazidi kuwa na muonekano mzuri...

Lishe bora tu mkuu hakunaga uzee
 
Nenda Selfika kule, watu wanajipost daily.
Achana na hawa wanaoshinda Siasani
 
Wee, tema mate chini, kwa sababu aliyempa sura mbaya yule, ndiye aliyekupa sura nzuri wewe.
Kwa hiyo usijivune, bali unyenyekee!
Vinginevyo hata leo Muumba wako anaweza akakupa mbaya kuliko ile unayodhani ni mbaya sana! Hujafa, hujaumbika ndugu yangu!
 
  • Hongera wewe uliye mshindi wakati wa uumbaji ukachagua sura unayoona ni nzuri.
  • 'Kujiuza' ni hobby
 
We're not photogenic ,,,,


Hivi ni kwa Nini watu wengi kwenye passport size ni wabaya kupitiliza, !!???

Sura zinatoka kama mapapai ,why !
 
Kumbeeee......likes 20 tu najipost hapahapa
 
Mimi sijisifii ila ni mrembo kweli Nina shida moja sipendi kuobwa picha kupiga picha Wala kujipost sijui Nina shida Gani mpaka watu wananishangaa vle sipendi kujipost so sometimes sio issue ya mtu kua na sura mbaya nilisema mwaka huu nitaanza kupiga picha ila mpaka Sasa sijapiga picha hata Moja tangu mwaka uanze I think maybe vle Sina simu nzuri nataka ninunue iphone latest nione kama nitaendelea kua na hii tabia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
hata ww2 ungekuwa na sura kama ya onyango ungepost [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…