Hapa ndipo tatizo lilipo. Uyahudi ni dini na si kabila.
Mayahudi hawaingiliani na Musa,bali Mayahudi wabajinasibisha na nabii Musa tunasema wanajikomba huku wakibadilisha mafundisho ya nabii Musa.
sasa musa anakosaje kua na uhusiano na wayaudi wakati wote wametoka katika shina moja ambae ni yakobo?! musa alitoka kwa Lawi na wayaudi ni wauzao wa yuda ambapo Lawi na Yuda ni watoto wa yakobo ambae ndo israel mwenyewe.
Afu kati ya uislamu na uyahudi kipi kilianza!?