Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Moses ni mmisri yule,,hata jina lake asili yake ni misri,Kumtenganisha Musa na wayahudi ni ujinga. Ni sawa na kuwatenganisha waarabu na Muhammad. Halaf kitu kinanishangaza, dini ya kiyajudi ilikuwepo kabla ya uislamu miaka zaidi ya 1500, sijui kwanini waislamu wanahangaika kutaka kumpora Musa kutoka kwa wayahudi
Moses,Amos ni majina ya kimisri,,
Kikubwa ni kuwa,hapajaoata kuwepo myahudi alieitwa moses,, hadithi kuhusu moses ni ngano za kubuni