Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Yuda alilala na mamake,yaani mke wa yakobo,yakobo alikuwa na wake 4,,mmojawapo ndo yuda alifanya nae mapenzi,,yakobo alisikitika sana akamlaani yuda na kumfukuza kutoka nyumbani kwakeHiyo niyakwako mimi kwenye kusoma kwangu Yuda ndio mtoto wa nne wa uzao wa Mzee Wetu Yakubu au Israel na alipokuwa na atoa mibaraka ya mwisho ukisoma utagundua Yuda alibarikiwa sana kuliko wote na Mzee wake