Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Wamefanya editing zao kulazimisha mambo......Point wanalazimisha vitu vifanane
Magaidi hawawezi kufanana na wapenda amani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefanya editing zao kulazimisha mambo......Point wanalazimisha vitu vifanane
Inaoneakana huelewi hata unachokiandika ndiyo maana unayaandika haya. Usipate tabu, uwanja ni wako, tuthibitishie hilo, ila mimi nasema hivi mpaka unakufa,nasema tena mpaka unakufa, hili huliwezi wala hakuna aliye liweza.Mkuu kuthibitisha Daudi wa mbagala na wa masaki unapataje ugumu..... Labda tu km hauko sawa kichwani
Mwanadamu hauwezi kumnyamazisha asiseme, ila hoja na elimu ndiyo uhukumu. Weka hoja kama wewe unasema ukweli.Wamefanya editing zao kulazimisha mambo......
Magaidi hawawezi kufanana na wapenda amani...
Hapa sio swala la hoja mkuu.... Swala ni rahisi sn..... Waislamu wasilazimishe kuonesha kuwa vinavyotamkwa kwenye kitabu cha quran ni kile kinachotamkwa kwenye Bible TAKATIFU....Mwanadamu hauwezi kumnyamazisha asiseme, ila hoja na elimu ndiyo uhukumu. Weka hoja kama wewe unasema ukweli.
Nimekujibu kwingineko...... Usitake kulazimisha Noah wa kwenye quran awe ndo huyo wa kwenye Bible maana sisi tunaabudu Mungu aliyetuumba kwa mfano na sura yake nyie mnaabudu mungu asiyefanana wala kufananishwa na chocbote....Inaoneakana huelewi hata unachokiandika ndiyo maana unayaandika haya. Usipate tabu, uwanja ni wako, tuthibitishie hilo, ila mimi nasema hivi mpaka unakufa,nasema tena mpaka unakufa, hili huliwezi wala hakuna aliye liweza.
Usilo lijua ni kuwa hapa tunaongelea Elimu na siyo story za maskani.
Nipo....
Huna hoja ndiyo maana nikasema mpaka unakufa, hatuko kijiweni hapa, hapa unatakiwa uandike elimu siyo malalamiko.Hapa sio swala la hoja mkuu.... Swala ni rahisi sn..... Waislamu wasilazimishe kuonesha kuwa vinavyotamkwa kwenye kitabu cha quran ni kile kinachotamkwa kwenye Bible TAKATIFU....
Hata mungu wa kiislamu yaani allah hafanani wala hafananishwi wkt yule Mungu wa kweli wa kwenye Bible alimuumba mtu kwa mfano wake....
Sisi tumeagizwa ktk amri za Mungu tusiabudu miungu wengine na kwetu sisi allah ni moja kati ya miungu tuliyokatazwa kuabudu maana sisi tuna mfano na sura ya Mungu......
KITU GANI HAKIELEWEKI HAPO MKUU!
Nacheka sana, hayo mafundisho amekufundisheni Yesu au nani ?Nimekujibu kwingineko...... Usitake kulazimisha Noah wa kwenye quran awe ndo huyo wa kwenye Bible maana sisi tunaabudu Mungu aliyetuumba kwa mfano na sura yake nyie mnaabudu mungu asiyefanana wala kufananishwa na chocbote....
Mnaabudu msichokijua kazi yenu kulazimisha ionekane tunaabudu Mungu mmoja......Nacheka sana, hayo mafundisho amekufundisheni Yesu au nani ?
Andika elimu na uweke maandiko, uone shughuli yake.
Ahsante.
Labda tu hujielewi unataka elimu ya madrasa........Huna hoja ndiyo maana nikasema mpaka unakufa, hatuko kijiweni hapa, hapa unatakiwa uandike elimu siyo malalamiko.
Jibu swali nililo kuuliza.Mnaabudu msichokijua kazi yenu kulazimisha ionekane tunaabudu Mungu mmoja......
Sisi Mungu wetu ni wa upendo nyie amewaruhusu kupigania dini yenu na kuua wengine......
Huna swali la kuniuliza mm ww mjahidina. Endelea kumwabudu mungu wako asiyefanana wala hafananishwi...... Sisi tunaabudu tunachokijua yaani Mungu ambaye alituumba kwa sura na mfano wake.......Jibu swali nililo kuuliza.
Tatizo lugha hamjui, hakuna maana hiyo katika andiko lolote la kimungu hasa toka kwenye vitabu hivyo, kwa kufasiri kwenu kichwa mchunga kukapelekea mgongano wa maandiko yenu.Labda tu hujielewi unataka elimu ya madrasa........
Nijibu basi km mungu wenu allah aliwaumba kwa mfano wake km Mungu wetu wa kweli.....
Acha kurandaranda...
Tatizo lugha hamjui, hakuna maana hiyo katika andiko lolote la kimungu hasa toka kwenye vitabu hivyo, kwa kufasiri kwenu kichwa mchunga kukapelekea mgongano wa maandiko yenu.
Hivi nikikwambia "Nimekutana na mtu wa mfano wake" unaelewa nini ? Kwamba mtu huyo yupo au ? Sasa andiko hilo halimaanishi Mola amemuumba mwanadamu kwa mfano wake kwa maana ya sifa au umbile, hili halipo.
Wana wa Hajiri mnahangaika saana na upotoshaji wenuUTANGULIZI
Masiku yamepita huku nikitamani sana kuandika chochote kuhusu Uyahudi na Wayahudi. Kuandika kuhusu chimbuko lao, kuandika kuhusu uhusiano wao na wana wa Israeli,kuandika kuhusu itikadi zao, kuandika kuhusu madai yao kwa nabii wa Mola muumba Musa mwana wa Imraan mwana wa Quhaata mwana wa Lawi mwana wa Yaqoub mwana wa Is'haak mwana wa Ibrahiim.
Lakini kalamu zimeshanyanyuka na wino umeshakauka na historia iliandikwa kitambo sana na wakubwa zetu kwa ubora, wakubwa zetu kwa maarifa na wakubwa zetu kwa umri, na nachokifanya mimi ni kurejea kwao na wala sitaandika jipya ambalo wao hawakuliandika,yaani kwa ufupi sitazua.
Maneno nitakayo yahudhurisha kwenu katika mfululizo wa anuani hii "KUYAFUNUA YALIYO FUNIKWA" ni natija au zao la utafiti wangu wa muda mrefu juu ya historia ya watu hawa. Lakini marejeo yangu hasa hasa yamemili katika vitabu viwili, ambavyo nitavitaja mwishoni mwa mada hii, yaani nikiwa nahitimisha somo hili.
Nini maana ya Uyahudi?
Katika kudurusu tamko hili la "Uyahudi" nitapita katika mapito mawili tofauti, pito la kilugha na pito la kiistilahi.
Maana ya Uyahudi kilugha
Wametofautiana wanazuoni juu ya tamko hili, wapo wanaosema tamko hili limetokana na lugha ya kiarabu katika tamko "al Huud" lenye maana ya toba (kutubia) na kurejea katika utiifu (kutokana na maovu aliyo yafanya mtu).
Wengine wakakataa na kusema hakika tamko hili si lenye asili ya Kiarabu, bali limetokana na mmoja wa watu kutoka katika ukoo (uzao) wa wana wa Israeli naye si mwingine bali ni "YAHUUDHA" (Huyu tutamuelezea kwa undani huko mbeleni) au tamko "Uyahuud/Yahuud" limetokana na ile dola iliyo anzishwa kusini mwa nchi ya Palestina baada kupita nabii Suleyman na hii ndiyo kauli yenye nguvu.
Maana ya Uyahudi kiistilahi
Uyahudi kiistilahi maana yake ni wale watu wanao dai ya kuwa wana mfata nabii Musa.
Sehemu ya pili post #28
Hivi ndivyo tulivyo sisi.Wana wa Hajiri mnahangaika saana na upotoshaji wenu
Taarab ni aina ya muziki wa kusherehesha na wala sio muziki wa mipasho.Watu wanaleta maarifa watu wajifunze ww unaleta mipasho na taarabu.
Ahahaha! Tuanzie hapa baba yake Musa na mama yake wanaitwa nani?Tofauti na Mahindu na Mabudha hawa hawajinasibishi na mtume yeyote ila Mayahudi wanajinasibisha na nabii Musa hali ya kuwa hawana uhusiano wowote na nabii Musa,hili nitalithibitisha huko mbeleni panapo majaliwa.
Bado unendea na Mipasho na taarabu?Taarab ni aina ya muziki wa kusherehesha na wala sio muziki wa mipasho.
Inaonekana hauko makini na nilichokiandika, suala baba wa Musa nimeshaligusia humu ndani, soma utaona.Ahahaha! Tuanzie hapa baba yake Musa na mama yake wanaitwa nani?
Ama kuuliza suala la Musa alifikaje Misri, unaonyesha ni kwa namna gani humjui Musa.Ukishajibu elezea Musa alifikaje Misri na kwanini aliwakomboa wana wa Israel ikiwa hana uhusiano nao?
Muandishi wa vitabu vitano mimi simjui, kama unamjua tuambie humu na sisi tumjue.Ukimaliza tueleze muandishi wa vitabu vitano vya kwanza vya agano la kale anaitwa nani?