- Thread starter
- #61
Ni tofauti kabisa.INTERESTING. Kwa Mantiki yako MAYAHUDI na WANA WA ISRAELI ni Tofauti...OK.
Vitabu ni :1. Naomba ntajie Majina Referrence ya vitabu vyako hivyo viwili
1.ad-Dirassat fiy ad'yaan "al Yahuud wa al Naswarah"
2. Al Ad'Yaan wa firqah wa madhaahib al Mu'asira.
Hili utaliona mbeleni ila mpaka hapa nipo na wanazuoni wa Kiislamu.H2. Pia nithibitishie kuwa utatumia wanazuoni wa Ki-islamu tu au na wanazuoni wengine
Hili la kuhusu vitabu nje ya mapito yangu, jukumu hili nilikuachia wewe kisha nikakwambia tutakuja kukutaba katika kuulizana maswali na kujenga hoja ili tujue nani mkweli.3. Je utatumia Pia Biblia kama Rejea au hutatumia kwavile imetiwa maneno na wanadamu??
Hili bila shaka limeeleweka.