Hapa ndipo tatizo lilipo. Uyahudi ni dini na si kabila.
Mayahudi hawaingiliani na Musa,bali Mayahudi wabajinasibisha na nabii Musa tunasema wanajikomba huku wakibadilisha mafundisho ya nabii Musa.
Naanzia hapa. Uislamu ulikuwepo kabla y Uyahudi,sababu hata nabii Nuhu alikuwa Muislamu.Afu kati ya uislamu na uyahudi kipi kilianza!?
Musa hana uhusiano na Mayahudi kwa sababu hata nikikuomba ushahidi unao onyesha ya kuwa Uyahudi ulikuwepo zama za nabii Musa,hutaweza kufanya hivyo.sasa musa anakosaje kua na uhusiano na wayaudi wakati wote wametoka katika shina moja ambae ni yakobo?!
Hii si kweli. Uyahudi ni nini hasa ?musa alitoka kwa Lawi na wayaudi ni wauzao wa yuda ambapo Lawi na Yuda ni watoto wa yakobo ambae ndo israel mwenyewe.
Naanzia hapa. Uislamu ulikuwepo kabla y Uyahudi,sababu hata nabii Nuhu alikuwa Muislamu.
Musa hana uhusiano na Mayahudi kwa sababu hata nikikuomba ushahidi unao onyesha ya kuwa Uyahudi ulikuwepo zama za nabii Musa,hutaweza kufanya hivyo.
Yakubu kuwa shina haimaanishi ya kuwa yeye alikuwa muasisi wa Uyahudi,sababu mpaka anakufa Uyahudi haukuwepo.
Hii si kweli. Uyahudi ni nini hasa ?
Ok, nimekuelewa mkuu!okay, nimekuelewa mkuu
Uyahudi ni seti ya imani, practices, na maadili kulingana na Torati. Unaweza kufuata Uyahudi na usiwe Myahudi, na unaweza kuwa Myahudi na usifanye Uyahudi.Hapa ndipo tatizo lilipo. Uyahudi ni dini na si kabila.
Mayahudi hawaingiliani na Musa,bali Mayahudi wabajinasibisha na nabii Musa tunasema wanajikomba huku wakibadilisha mafundisho ya nabii Musa.
Chief Mubarridi, Uyahudi ni zaidi ya Dini.Naanzia hapa. Uislamu ulikuwepo kabla y Uyahudi,sababu hata nabii Nuhu alikuwa Muislamu.
Musa hana uhusiano na Mayahudi kwa sababu hata nikikuomba ushahidi unao onyesha ya kuwa Uyahudi ulikuwepo zama za nabii Musa,hutaweza kufanya hivyo.
Yakubu kuwa shina haimaanishi ya kuwa yeye alikuwa muasisi wa Uyahudi,sababu mpaka anakufa Uyahudi haukuwepo.
Hii si kweli. Uyahudi ni nini hasa ?
Unaongelea Musa yupi?Wapo walio kuwa Waislamu,na Musa ni Muislamu.
ndo hivyo... ukiona mtu mahaba yamefunika uelewa inakua ni bora kupita kushoto ili kila mtu abaki na uelewa wakeOk, nimekuelewa mkuu!
Ukiona mtu unampa facts tena kwa reference za ki-genealogy, Kisha anaendelea kubishana bila kuwa na facts, unaachana naye.
Hili halipo. Uyahudi uns misingi yake. Kwayo inakufanya ukawa Myahudi.Uyahudi ni seti ya imani, practices, na maadili kulingana na Torati. Unaweza kufuata Uyahudi na usiwe Myahudi, na unaweza kuwa Myahudi na usifanye Uyahudi.
Musa huyo huyo,kuhusu amri kumi katika mlima sinani hili nalo linahitaji ushahidi.Unaongelea Musa yupi?
Yule aliyepewa Amri 10 pale kunako Mlima Sinai au Musa mwingine?
Chief Mubarridi, yawezekana hujui sana kuhusu Uyahudi (Judaism)!Hili halipo. Uyahudi uns misingi yake. Kwayo inakufanya ukawa Myahudi.
Miongoni mwa imani za Mayahidi katika kitabu chao Talmud ni kuwa Wanadamu wote wameumbwa kwa ajili ya kuwatumikia Mayahudi na ni sawa na nguruwe na nyumba zao zote ni magofu.
Sijaelewa swali lako.Swali kwako. Je wajua kuwa Uyahudi uko wa ngapi?
Hili halipo. Uyahudi uns misingi yake. Kwayo inakufanya ukawa Myahudi.
Miongoni mwa imani za Mayahidi katika kitabu chao Talmud ni kuwa Wanadamu wote wameumbwa kwa ajili ya kuwatumikia Mayahudi na ni sawa na nguruwe na nyumba zao zote ni magofu.
Sorry, nilifanya typing error!Sijaelewa swali lako.
Tuanze kuijadili hii maana uliyo itoa kuhusu Uyahudi ili tapate kujua je maana hii ya kweli kulingana na uhalisia wa Mayahudi wenyewe au ni kinyume chake.1 : a religion developed among the ancient Hebrews and characterized by belief in one transcendent God who has revealed himself to Abraham, Moses, and the Hebrew prophets and by a religious life in accordance with Scriptures and rabbinic traditions
Maana hizi zote zinaingia katika maana ya kilugha ya dini,yaani huwezi kuitenganisha dini vitu hivi ulivyo vitaja kuelezea maana ya dini ya Uyahudi.2 : the cultural, social, and religious beliefs and practices of the Jews
3 : conformity to Jewish rites, ceremonies, and practices
4 : the whole body of Jews : the Jewish people
Jamaa Yuko sahihi,ulimwengu wengi haufahamu hil, Judaism n dini ,tena ndio dini ya haki mbele ya Mwenyez MunguSafi kabisa, sasa vipi Wayahudi wanajinasibisha na nabii Musa huku wakidai wanafata Torati ?
Swali lingine la msingi, sababu Historia imeshaandika, na dhuria ya wana wa Israeli inajulikana, je ni uzao gani au ni nani katika wana wa Israeli walikuwa ni Mayahudi ?
Unaweza kulithibitisha hili ? Naomba ushahidi wa hili.
Jamaa Yuko sahihi,ulimwengu wengi haufahamu hil, Judaism n dini ,tena ndio dini ya haki mbele ya Mwenyez Mungu
Elim yako ndogo na uelewa wako finyu ndo unafanya ufikiri kua uyahudi ndio dini ya kweli.Dini ya kwel,na dini ya haki mbele ya Mwenyez MUNGU n uyahud,nmelifahamu hilo kwa uwezo wa Mungu aliye hai,, ukristo na uislam umeiba maandiko na mitume wa kiyahud na kudai kuwa n w dini hizo..na ndio maana katka hiv vitabu vya kitapeli (Biblia agano jipya na Quran) wayahud(wafuasi wa dini ya kiyahud) wanasemwa vibaya.