Umesoma nyuzi zangu zote au umeparamia tu?Kwahyo ww kuhudumia wanao had upewe mbususu? elewa hoja mm nmesema ameacha kuhudumia sabb simpi. umeshindwa kuelewa kuwa alikua anahudumia nyuma. ila kisa nmegoma ndo hahudumii. kwann sikumpa huko nyuma alivyokua anahudumia?
Hebu soma zote