Kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa?

Just pride tu kuwa wazazi wangu walizaa mtoto basi na me nikiwa naye kama wazazi wangu. Ni kama repetitive pridd tu.
 
Every species does everything it does to stay alive. Every species does everything possible to pass on their genes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa inaonekana mbinafsi sana... hivi ulivovikuta duniani imagine wazee wangesema waviharibu ingekuaje
 

Tungoje Majibu, Bila Jazba, Kejeri, Mihemko, Hasira
 
Kwani binadamu tukitoweka duniani hasara yake ni nini?
 
Viongozi wa Kanisa katoliki Wana majibu sahihi na biashara hii waliikimbia kuanzia masister,mabrother , mapadre,Maaskofu hadi papa.

Hii biashara hazilipi mkuu
 
Hakuna faida yoyote anaipata:-

-Mende kumzaa mende
-Funza kumzaa funza
-Simba kumzaa simba
-Mwanadamu kumzaa mwanadamu

Tunatekeleza maagizo ya aliyetufanya tuwe viumbe hai, yeye ndiye anayejua faida zake.

Unapotekeleza agizo linaweza lisiwe na manufaa ya moja kwa moja kwako.
 
Faidaaaa uliyopataaa ni kupunguzaa nyegeee..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mpaka junior atakapokuja kutoboa kimaishaaaa ule mema ya nchii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…