Kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa?

Hujaielewa hii mada.
yani wew kuzaa watoto inakusaidia nin au inawasaidia nin wao??? maana wote mwisho wa siku tutakufaaa... kuwepo kwa kifo hakuondoi maana ya maisha ndugu otherwise utaanza kuweka imagination ambazo hazipo of which mwisho wa siku HALI HALISI HAIPO HIVYO... reality matter achana na mawazo yasiyo exist...
 
Kufikiri kuwa kitu kina faida na haujui ni ipi ni kutoishi kwenye reality na kuwa na imaginations ambazo hazipo
 
sijaelewa unachoongeaa... ila mwisho wa siku lazima uishii hata ukitaka kujiua serikali itakushtaki japo haifadiki kwa lolote an wew nadhani sasa unaelewa reality ni ipi na imagination ni zipi
 
kama tunakufa hakuna haja ya kuzaliwaa naunga mkono hoja kabisaa... ILA THATS NOT REALITY ukweli haupo hivyo watu wanazaliwa wengine sababu tu watu walikuwa na genye zao wakagongana ila haukuwa mpango 😀 😀 😀 sawa na kusema why wagongane sasa??? maana watoto ni matokeo ya kukulanaa
 
Mtoa mada atakuwa anataka kujiua,au ni hanithi hazai au anataka kutukimbia kiumeni
 
mawazo kama haya, husababishwa na kugota kifikra, tuendelee kujifunza kuna siku tutapata majibu ya tusoyajua.
 
kama tunakufa hakuna haja ya kuzaliwaa naunga mkono hoja kabisaa... ILA THATS NOT REALITY ukweli haupo hivyo watu wanazaliwa wengine sababu tu watu walikuwa na genye zao wakagongana ila haukuwa mpango 😀 😀 😀 sawa na kusema why wagongane sasa??? maana watoto ni matokeo ya kukulanaa
Ok, kumbe inaonekana kwa wanyama kuzaliana ni matokeo tu ya kutimiza sex urge, ila hakumfaidishi chochote. Ni kama madhara ya sex.
 
😀 😀 😀ofcoz kwa asimilia kubwa ni matokeo ya sex japa wapo wanokesha kutafuta watoto na hawapati.
 
So kuzaliana hakuna faida yoyote kwa kiumbe anayezaa. Yeye alikuwa tu anataka kutimiza tamaa za mwili, mara mtoto huyu hapa. Ni kama tu mbuzi anayetaka kupandana wakati wa joto. Hajui kuwa atapata mtoto lakini anashangaa ghafla mtoto huyu hapa. Au unataka kusema mbuzi nao hutafuta watoto?
 
sasa mbuzi ndo wanapandana wakiwa kwenye heat period tu na wao lengo sio kuzaaa ilaa ni kushushaaa mizukaaaa... kwa wanyama kama ngombe asipopandwa anabomoa hadi banda ila hizo fujo zote lengo sio kupata mtotooo ni apigwee mitii
 
Tofauti yetu na mbuzi ni akili tu. Tumetambua kuwa kupandana ni raha na kunaleta watoto. Wote. Binadamu, mbuzi, samaki na ng'ombe. Hupata faida gani wakizaa?
 
😀 😀 😀faida muulize mama ake samia mfano kapata faida gani
 
Kuna wazazi, tena wengi, hadi wanakufa wao ndiyo wanasaidia watoto. Na wanawaachia urithi. Vipi mama mbuzi na mama ng'ombe?
 
Majibu yanaweza kuwa hapa kwenye majibu ya maswali haya:

  • Je wewe ni mtoto usiye na faida kwa wazazi wako? If the answer is NO, then hizo ndio sababu za kuzaliana
  • Je kutozaa kunamsaidia nini asiyezaa?

Life is a game of risk that is worth taking, na hizi ni baadhi ya faida za kuzaa kwa anayezaa:

1. Kutengeneza familia
2. Kupokea upendo usio na conditions
3. Kurekabisha makosa ya kimaisha na kimalezi ya wazazi wa anayezaa
4. Raha ya kuwa na wajibu usiokoma

Mwisho, naunga mkono swali lako kwamba ni vizuri kabla ya kuwa na mtoto mtu kujiuliza faida na hasara na kama ataweza kufanikisha yote anayoyategemea.

Kutegemea na mtazamo wa mtu, either positive ama negative, there is no single answer that fit all but it should be looked at in a case to case basis.

Let me declared my interest, I am a married father with kids na pamoja na majukumu yote niliyonayo, I have never been this happy ukilinganisha na kipindi sijaoa na sina watoto.

Nawasilisha
Nimependa namba 4 hapo.
Pia ni jukumu tulilopewa na mwenyezi.
 
Back
Top Bottom