Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Huu uzi burudani sana, kuna tujibu tuzuri mnoo 😂😂Kuzaa kunafaida ya kujihisi raha tu 😁 unapowaona watoto wako na kuwafundisha fundisha vitu, BINADAMU WOte tunapenda tuonekane tunajua vitu na kutaka umpate mtu wa kumfundisha mambo, Sasa ule muda unamfundisha ndio raha Tena hasa akaelewa.
Hi ipo kwa kuku pia anapenda pia kufundisha vifaranga kuparua chakula,njia za mpambano nk