Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa)
Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo!
Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia!
Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama au chochote ambacho hakina nadharia yoyote zaidi ya kusadikika na kufikirika!
Ndivyo ilivyo hata kwa wakubwa chochote ufanyacho hakina uhalisia wowote bali ni vitu vya kufikirika tu na kusukuma siku ziende.
Chochote ufanyacho katika maisha ya binadamu ni Maigizo tu kwahiyo msiwe siliazi sana kwenye hayo maisha yenu maana hata ukikaza haibadili chochote kwenye maigizo yako!

- Wengi wanaigiza kuishi kama wanandoa lakini kiuhalisia ni maadui wa baadae (maigizo)
- Wengi wanaigiza matajiri leo lakini ni masikini wa baadae (maigizo)
- Wengi wanaigiza maskini leo lakini baadae ni matajiri (maigizo)
- Wapo walioteuliwa vitengo ili waje kutenguliwa baadae (maigizo)
- Wapo walioshiba jana lakini wameamka na njaa kali mno (maigizo)