Kuzaliwa na kifo ndiyo ukweli pekee katika maisha! Mengine yote afanyayo binadamu katika maisha yake ni maigizo

Kuzaliwa na kifo ndiyo ukweli pekee katika maisha! Mengine yote afanyayo binadamu katika maisha yake ni maigizo

Unaigiza kunitukana najua siyo kweli
kalagabao! kama unaheshimu kuzaliwa unatakiwa uheshimu na matendo baada ya kuzaliwa maana mtu akizaliwa ndo anaweza kuzaa pia!, hakuna muendelezo wa maisha bila kuzaliwa kuwepo kwa maisha mengine hayo unayosema ni maigizo.. maana yakuzaliwa mtu anaipta kwenye kuishi/maisha!. wewe naona ubongo wako kuna sehemu manyuzinyuzi yamedandiana!
 
Matendo ni hayo maigizo; unaweza kuigiza popote hata polini hadi utakapokufa
 
Kwamba unaigiza kuzaa ila matokeo ya kuigiza ni halisi. Ok
Ni kama kutoa haja tumboni ndugu ..ndiyo maana mtu anaweza zaa hata mara 10! Lakini haweza kiumbe hikohiko mara 10, lazima azae tofauti maana hiko kinachozaliwa ndicho halisi! Lakini mzaaji anaigiza tu
 
Chamuhimu zaidi ni umejifunza nini kwenye somo la sasa ili likusaidie kwenye darasa/igizo lijalo..
Yatupasa pia kujua hakuna jambo/mtu mbaya au mzuri kwa maana vyote tunavyopitia kwenye igizo la sasa tulishachagua kuyapitia ili kujifunza na kukua zaidi.
 
Inategemea igizo lako liko upande gan: likiwa kwenye utajiri hata ukiuza mawe yananunuliwa;

Zingatia hata Yesu alikuja duniani kuigiza kama mwanadam ili kupitia machungu ya kuishi kama binadam na kushinda majaribu
Niambie utafungua wapi duka lako la mawe nije kukuungisha.
 
Yote uliyo yaandika ni ubinafsi mtupu ... Kuna uwezekano siku ukiumwa utauza mali zako zote kwa ubinafsi tu.
 
Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa)
Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo!

Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia!

Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama au chochote ambacho hakina nadharia yoyote zaidi ya kusadikika na kufikirika!

Ndivyo ilivyo hata kwa wakubwa chochote ufanyacho hakina uhalisia wowote bali ni vitu vya kufikirika tu na kusukuma siku ziende.
  • Wengi wanaigiza kuishi kama wanandoa lakini kiuhalisia ni maadui wa baadae (maigizo)
  • Wengi wanaigiza matajiri leo lakini ni masikini wa baadae (maigizo)
  • Wengi wanaigiza maskini leo lakini baadae ni matajiri (maigizo)
  • Wapo walioteuliwa vitengo ili waje kutenguliwa baadae (maigizo)
  • Wapo walioshiba jana lakini wameamka na njaa kali mno (maigizo)
Kila afanyacho binadamu ni maigizo! Inategemea umepangwa kucheza Scene gani katika igizo lako la maisha!

Chochote ufanyacho katika maisha ya binadamu ni Maigizo tu kwahiyo msiwe siliazi sana kwenye hayo maisha yenu maana hata ukikaza haibadili chochote kwenye maigizo yako!

Hayo ni maoni yako. Ninayaheshimu, licha ya kuwa siyakubali.
 
Hayo ni maoni yako. Ninayaheshimu, licha ya kuwa siyakubali.
Hata ukiyakubali haibadilishi unachoigiza ni kama ndege tu walivyo kutwa wanazurula jioni wanarudi kwenye viota! Hata wewe binadamu ndivyo ulivyo huna ramani ya kudumu upo unaigiza tu kuishi kadri ya mazingira ulipo
 
Inategemea igizo lako liko upande gan: likiwa kwenye utajiri hata ukiuza mawe yananunuliwa;

Zingatia hata Yesu alikuja duniani kuigiza kama mwanadam ili kupitia machungu ya kuishi kama binadam na kushinda majaribu
Hiyo ya Yesu inaweza kuwa ni maigizo extreme kuliko scenario zote ulizozielezea hapo.

Imagine eti huyo ndio alikuwa mtoto pendwa wa Mungu, still akatumwa aje kupigwa kipigo cha aibu mpaka kifo.

Guys tuelewane, huyo ni mtoto pendwa hakuna kama yeye lakini cheki kilichomkuta.

Na hapo hakuwa na dhambi.

Je hiyo inatupa tahadhari gani kwa sisi watoto wengine ambao sio pendwa kama alivyokuwa Yesu?

Plus na haya masharti aliyotuwekea ya mfumo wa tuishi na kuita dhambi kila kitu ambacho kitakuwa ni kinyume na maagizo yake, hivi hamuoni kwamba sometimes ipo haja ya kuzikwa na fire extinguisher ili kupambana na ile kitu ya huko jehanam?
 
Back
Top Bottom