Kuzaliwa na kifo ndiyo ukweli pekee katika maisha! Mengine yote afanyayo binadamu katika maisha yake ni maigizo

Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa)
Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo!

Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia!

Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama au chochote ambacho hakina nadharia yoyote zaidi ya kusadikika na kufikirika!

Ndivyo ilivyo hata kwa wakubwa chochote ufanyacho hakina uhalisia wowote bali ni vitu vya kufikirika tu na kusukuma siku ziende.
  • Wengi wanaigiza kuishi kama wanandoa lakini kiuhalisia ni maadui wa baadae (maigizo)
  • Wengi wanaigiza matajiri leo lakini ni masikini wa baadae (maigizo)
  • Wengi wanaigiza maskini leo lakini baadae ni matajiri (maigizo)
  • Wapo walioteuliwa vitengo ili waje kutenguliwa baadae (maigizo)
  • Wapo walioshiba jana lakini wameamka na njaa kali mno (maigizo)
Kila afanyacho binadamu ni maigizo! Inategemea umepangwa kucheza Scene gani katika igizo lako la maisha!

Chochote ufanyacho katika maisha ya binadamu ni Maigizo tu kwahiyo msiwe siliazi sana kwenye hayo maisha yenu maana hata ukikaza haibadili chochote kwenye maigizo yako!
maisha yote ni maigizo. ni ubatili mtupu.

YESU NI NWANA&MWOKOZI
 
Nataka niseme ukweli hapa.. umeandika ujinga tu....
 
Kwa hiyo hata hii post yako na reaction yangu havina uhalisia!!
 
Mwisho wa picha starring wa mchezo lazima AFE

Mungu anasema kupitia maneno yake matukufu katika kitabu cha Quran kuwa
Al-An'am 6:32

English

And the worldly life is not but amusement and diversion; but the home of the Hereafter is best for those who fear Allāh, so will you not reason?

Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?
 
Quran 6:70

Waachilie mbali walio ifanya dini yao ni mchezo na pumbao, na uhai wa dunia ukawaghuri. Nawe kumbusha kwayo, isije nafsi ikaangamizwa kwa sababu ya iliyo yachuma, nayo haina mlinzi wala mwombezi ila Mwenyezi Mungu. Na ingatoa kila fidia haitokubaliwa. Hao ndio walio angamizwa kwa sababu ya yale waliyo yachuma. Wao watapata kinywaji cha maji ya moto kabisa, na adhabu chungu.
 
Quran 29:34

Na haya maisha ya dunia si chochote ila ni pumbao na mchezo. Na nyumba ya Akhera ndiyo maisha khasa; laiti wangeli kuwa wanajua!
 
Quran 57:20

Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto. Mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake, kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua. Na akhera kuna adhabu kali na maghfira kutoka kwa Mwenyezi Mungu na radhi. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu.
 
Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa)
Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo!

Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia!

Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama au chochote ambacho hakina nadharia yoyote zaidi ya kusadikika na kufikirika!

Ndivyo ilivyo hata kwa wakubwa chochote ufanyacho hakina uhalisia wowote bali ni vitu vya kufikirika tu na kusukuma siku ziende.
  • Wengi wanaigiza kuishi kama wanandoa lakini kiuhalisia ni maadui wa baadae (maigizo)
  • Wengi wanaigiza matajiri leo lakini ni masikini wa baadae (maigizo)
  • Wengi wanaigiza maskini leo lakini baadae ni matajiri (maigizo)
  • Wapo walioteuliwa vitengo ili waje kutenguliwa baadae (maigizo)
  • Wapo walioshiba jana lakini wameamka na njaa kali mno (maigizo)
Kila afanyacho binadamu ni maigizo! Inategemea umepangwa kucheza Scene gani katika igizo lako la maisha!

Chochote ufanyacho katika maisha ya binadamu ni Maigizo tu kwahiyo msiwe siliazi sana kwenye hayo maisha yenu maana hata ukikaza haibadili chochote kwenye maigizo yako!
Sasa nani anayepanga haya maigizo?
 
Sasa nani anayepanga haya maigizo?
Kabla mwanadamu kuja hapa ulimwenguni kuna kitu kinaitwa Qadar ( fate/predestination) kwamba Mungu anajua yote yatakayotokea kabla hayajayokea na hakuna linalotokea pasi na idhini yake.
 
Ukakasi!, nadhani hii mada ina maswali mengi ya kuibua na bahati mbaya muda nao siyo rafiki kabisa.
 
Mind set, uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo
Actually, nilichoandika ni more of a personal opinion which in no way whatsoever is enforced upon you, didn't hope to attain your approval na kubwa na la muhimu zaidi nimetumia simu na bundle langu.

Hivyo kabla ya kujihisi Einstein na kuhisi una uwezo wa fikra mkubwa zaidi kumbuka kuwa maoni yako ni mithili ya kinyesi ninachotoa chooni, hayana thamani ama athari yeyote kwangu.
 
Back
Top Bottom