Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
- #81
Mind set, uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo, binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo ni mvivu wa kufikiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mind set, uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo, binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo ni mvivu wa kufikiri
Kwahiyo kutenda mema au mabaya yote ni batili maana kila kiumbe alishakipangia mwisho wake si ndivyo? So it's like we are in his cage while he watches us from the above the way we implement his plan doesn't it?Kabla mwanadamu kuja hapa ulimwenguni kuna kitu kinaitwa Qadar ( fate/predestination) kwamba Mungu anajua yote yatakayotokea kabla hayajayokea na hakuna linalotokea pasi na idhini yake.
Sometime unaweza kuishi maisha inje ya mpango wa kuigiza kwa kufanya yasiyo kuhusuKwahiyo kutenda mema au mabaya yote ni batili maana kila kiumbe alishakipangia mwisho wake si ndivyo? So it's like we are in his cage while he watches us from the above the way we implement his plan doesn't it?
Mwanadamu umepewa free will na pia maombi yanaweza kubadili destiny (Qadar).Kwahiyo kutenda mema au mabaya yote ni batili maana kila kiumbe alishakipangia mwisho wake si ndivyo? So it's like we are in his cage while he watches us from the above the way we implement his plan doesn't it?
Mwanadamu umepewa free will na pia maombi yanaweza kubadili destiny (Qadar).
Mungu anajua machaguzi (choices ) yetu tutakayochagua hapa duniani mpk mwisho wa uhai wetu.
Alichofanya Mungu ni kutupa habari zijazo kuwa kuna Moto na kuna pepo kwa watakaotenda mabaya au mema. Ukichagua uovu ni wewe na nafsi yako sio lawama kwa Mungu. Na ukifanya Mema ni wewe na nafsi yako..Mungu hana lawama.
Yeye alishajivua lawama kwa kutuletea Mitume na vitabu vyake vitukufu ili vituonye na vitupe bishara njema juu ya yale mema tutakayoyafanya hapa duniani.
Ni sawa na wewe umuwekee mwanao moto na pipi...achague moja ila unajua tu kuwa atachagua pipi badala ya Moto ndio sawa na Mungu anavyojua wewe utafanya mema au maovu hapa duniani na mwisho wako utakuwa peponi au motoni.
RelaxKwa hiyo hata ulichoandika ni maigizo tu tusikuchukulie serious...
Jomba usikate tamaa. Maisha ni magumu kwa wananchi wengi kwa sasa. Hauko peke yako. Kama maisha ni maigizo nenda gereza lililo karibu nawe omba wakufunge kwa miezi hata mitatu ucheze hiyo scene.Vitu pekee ambavyo ni ukweli ni viwili tu kwa mwanadam (kuzaliwa na kufa)
Maisha mengine yote ya mwanadamu ni maigizo!
Chochote afanyacho binadam huwa ni kama scene tu havina ukweli wowote kiuhalisia!
Kwa mfano: Ukiangalia watoto wanavyochezea makopo au wanavyoigiza kibaba baba au kimamamama au chochote ambacho hakina nadharia yoyote zaidi ya kusadikika na kufikirika!
Ndivyo ilivyo hata kwa wakubwa chochote ufanyacho hakina uhalisia wowote bali ni vitu vya kufikirika tu na kusukuma siku ziende.
Kila afanyacho binadamu nmaigizo! Inategemea umepangwa kucheza Scene gani katika igizo lako la maisha!
- Wengi wanaigiza kuishi kama wanandoa lakini kiuhalisia ni maadui wa baadae (maigizo)
- Wengi wanaigiza matajiri leo lakini ni masikini wa baadae (maigizo)
- Wengi wanaigiza maskini leo lakini baadae ni matajiri (maigizo)
- Wapo walioteuliwa vitengo ili waje kutenguliwa baadae (maigizo)
- Wapo walioshiba jana lakini wameamka na njaa kali mno (maigizo)
a