Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa. Upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa

Ni kweli kuwa Dar ni fursa kubwa, nakumbuka kipindi tumeenda kuripoti shule Advance mkoa Fulani kusini mwa Tz kitambo icho, wote tuliotokea Dar tulinyimwa nafasi za uongozi sababu ilikua ni kwamba tungewaburuza sana wenzetu na pia tulikua tuna reason sana walimu na tupo updated kuliko waliotokea mikoa mengine.
Mwisho wa siku uongozi walikua wanapewa watu wa mikoa tofauti ili walimu wafanye kazi yao bila pingamizi.
 
Lakini Kuna watu Kama Wakina GENTAMYCIME wanaotaka Mar lakini wanaishi dar watabisha
 
Wewe ndio mtoto wa siku hizi

"Wenye kunielewa wamenielewa,sizungumzii ukubwa"

Tumia sense organ ya 6 kudadafua mambo
 
Kuna watu hasa wa Kilimanjaro na Wakina ngosha hawataki kukubali
 
Wa mikoani ndio wqmatoboa sasa wakifika dar. Wazawa wanabakia kuvaa bi boxer tu mtaani na kulamba lips
 
Sijazaliwa dar wenyeji naomba mnipokee nakuja dar
 
Dar hii hii ukiwa mkoani,ukimwambia nduguyo aliyepo huko unakwenda huko,ukiwa mkoani anakujibu fresh,ukifika,Dar anakukacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…