Espoir_jnr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 489
- 1,934
Ni kweli kuwa Dar ni fursa kubwa, nakumbuka kipindi tumeenda kuripoti shule Advance mkoa Fulani kusini mwa Tz kitambo icho, wote tuliotokea Dar tulinyimwa nafasi za uongozi sababu ilikua ni kwamba tungewaburuza sana wenzetu na pia tulikua tuna reason sana walimu na tupo updated kuliko waliotokea mikoa mengine.
Mwisho wa siku uongozi walikua wanapewa watu wa mikoa tofauti ili walimu wafanye kazi yao bila pingamizi.
Mwisho wa siku uongozi walikua wanapewa watu wa mikoa tofauti ili walimu wafanye kazi yao bila pingamizi.