Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Mh Sitokuja kuingiza domo langu kule hata siku moja nyie zameni tu mazee
 
Vijidudu haviwezi ishi kwenye mazingira ya papuchi na pls usitutishe
 
Baadhi ya wanawake ni wachafu na Hawajui hata kujitawaza..Unakuta mtu wakati wa kujitawaza anautoa uchafu nyuma anauleta mbele..Ukikutana na wa dizaini hiyo zen ukazama mgodini inakuwa balaaa
 
Sizami chumvini hata nikipewa hela ya makontena yote ya bandarini
 
Kuzama chumvi inabidi mtu aje na certificate of clearance kutoka tfda na tbs.
 
hata kama ungesema israil Yuko pale nisingeacha kuzama. Watu tunaitwa Wakurugenzi sababu ya Uzamaji chumvini harafu wewe unaleta sababu mufilisi
 
Wewe kama unaogopa kipindundu kivyako tuache wazamiaji tuendelee na kazi zetu
 
Hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…