Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Vijidudu haviwezi ishi kwenye mazingira ya papuchi na pls usitutishe
 
Baadhi ya wanawake ni wachafu na Hawajui hata kujitawaza..Unakuta mtu wakati wa kujitawaza anautoa uchafu nyuma anauleta mbele..Ukikutana na wa dizaini hiyo zen ukazama mgodini inakuwa balaaa
 
Sizami chumvini hata nikipewa hela ya makontena yote ya bandarini
 
Kuzama chumvi inabidi mtu aje na certificate of clearance kutoka tfda na tbs.
 
hata kama ungesema israil Yuko pale nisingeacha kuzama. Watu tunaitwa Wakurugenzi sababu ya Uzamaji chumvini harafu wewe unaleta sababu mufilisi
 
Wewe kama unaogopa kipindundu kivyako tuache wazamiaji tuendelee na kazi zetu
 
Wajumbe salaam,

Nimekuja kuweka tahadhari kwa mateja wa kuzama chumvini,hata wale wanaochipukia.

Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu bado unaripotiwa mikoa kadhaa,na jana umeripotiwa tena Tabora.

Mtindo huu wa ufanyaji mapenzi umekuwa maarufu sana miongoni mwetu,na viungo vinavyohusika kimojawapo ni delicate sana na ugonjwa.

Hata kushika maiki bado ni hatari tu.Epuka uzamaji chumvini na ushikaji maiki kipindi hiki cha mlipuko wa kipindupindu.
Hatari sana.
 
Back
Top Bottom