Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).

Ni vema kufahamu kuwa, katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda, kitaalamu wanaita normal flora hawa wanakuwa hawana madhara katika mwili. Hivyo ni kweli kuwa vagina kama ilivyo mdomo una normal flora.

Sasa, baadha ya vitendo huweza kuondoa normal flora na kukaribisha magonjwa,mfano kinamama kujiosha ukeni na maji ya ndimu,limao,Shabu etc huweza kuondoa Normal flora na kukaribisha magonjwa,kama ambavyo matumizi ya sabuni zenye kemikali zinavoweza kuua normal flora kwenye ngozi na kusababusha magonjwa ya ngozi.Hivyo kwa mwanamke mwenye afya,uke ni mahali salama kufanya upendalo(kama vile kwenda chumvini).

Hata hivyo, nionye kuwa hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kinywani kama vile Gonnorhea, Syphilis, candidiasis (fungus), HIV n.k ipo pale pale kama ambavyo mtu anaweza kuambukizwa kwa njia ya kawaida ya kujamiiana.

Mwisho, kama wewe ni mgonjwa wa kwenda chumvini, hakikisha unafanya mchezo huo nampenzi/mke aliye salama.
 
Tatizo vijana mnataka kuzama uvinza kwa kila mwanamke na kila mkifanya mapenzi..


Mapenzi ya Uvinza fanya kwa mwanamke wako permanent au mkeo.
 
[http://img2]

Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).

Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda, kitaalamu wanaita normal flora hawa wanakuwa hawana madhara katika mwili.Hivyo ni kweli kuwa vagina kama ilivyo mdomo una normal flora.

sasa baadha ya vitendo huweza kuondoa normal flora na kukaribisha magonjwa,mfano kinamama kujiosha ukeni na maji ya ndimu,limao,Shabu etc huweza kuondoa Normal flora na kukaribisha magonjwa,kama ambavyo matumizi ya sabuni zenye kemikali zinavoweza kuua normal flora kwenye ngozi na kusababusha magonjwa ya ngozi.Hivyo kwa mwanamke mwenye afya,uke ni mahali salama kufanya upendalo(kama vile kwenda chumvini).

Hata hivyo, nionye kuwa hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kinywani kama vile Gonnorhea, Syphilis, candidiasis (fungus), HIV n.k ipo pale pale kama ambavyo mtu anaweza kuambukizwa kwa njia ya kawaida ya kujamiiana.

Mwisho, kama wewe ni mgonjwa wa kwenda chumvini, hakikisha unafanya mchezo huo nampenzi/mke aliye salama.

Mbona kansa ya koo hujaitaja mkuu???
 
Mkuu
Heee!!!!!!!! Makubwa madogo yana nafuu. Kumbe chumvini hapafai make madeni wengi wasipopelekwa chumvini wanadai hawaenjoy. Lakini hata mimi nilishaanza kuacha baada ya kukutana na tatizo lifuatalo:

Kwamba karibu mademu wote ambao huwa nadhani wanafaa kwenda chumvini huwa nakuta hawana chumvi na wengine nakutana na kauchungu kidogo. Je hivyo ndivyo walivyo mademu wote au ni mademu wa siku hizi tu au kuna kitu wanafanya hadi wanakuwa na hali hiyo. Wana JF naombeni msaada make nimikuwa nikipata shida hadi niliwahi kudhani kuwa labda nimewekewa kalimbwata ndo maana nikakutana na hiyo taste.
Mkuu tatizo madem siku hizi madawa na vitu vya kujisafishia papuchi ni vingi, nakumbuka nlishaenda kwa dem kula tunda ile naangaza angaza kwenye dressing table nakuta Vaginal creams za aina tofauti tofauti, tubes zilizoisha kwa mpya...game nikacancel na Ligi nimeifuta kabisa.

Masuala ya chumvini unaweza kujikuta umelishwa sumu achilia mbali magonjwa mkuu..😂😂
 
Wakuu nasikitika kuwaambia kuwa nimekuwa mzama uvinza maarufu.Kuna mke wa mtu amechanganyikiwa baada ya kumzamia uvinza mara mbili,hamtaki tena mume wake muda wote ananionea wivu na kunifuatilia.

Hali si hali.
 
Back
Top Bottom