Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Ni wakati wako sasa kutembea na mafuta popote uendako maana hujui siku wala saa ya kuja kwa mkereketwa huru.
 
Wakuu nasikitika kuwaambia kuwa nimekuwa mzama uvinza maarufu.Kuna mke wa mtu amechanganyikiwa baada ya kumzamia uvinza mara mbili,hamtaki tena mume wake muda wote ananionea wivu na kunifuatilia.

Hali si hali.
Kifo kinakusubiri mkuu. Achana kabisa na wake za watu
 
Wakuu nasikitika kuwaambia kuwa nimekuwa mzama uvinza maarufu.Kuna mke wa mtu amechanganyikiwa baada ya kumzamia uvinza mara mbili,hamtaki tena mume wake muda wote ananionea wivu na kunifuatilia.

Hali si hali.
Wakati wowote ule tegemea kupata fangasi Kali sana ya mdomoni,utaanza kuona Kama mdomoni kunaanza kua na utando mweupe!!
 
Unakuta mme wake aligegeda usiku na wewe kesho yake ukazama chumvini[emoji3][emoji3]
 
Heee!!!!!!!! Makubwa madogo yana nafuu. Kumbe chumvini hapafai make madeni wengi wasipopelekwa chumvini wanadai hawaenjoy. Lakini hata mimi nilishaanza kuacha baada ya kukutana na tatizo lifuatalo:

Kwamba karibu mademu wote ambao huwa nadhani wanafaa kwenda chumvini huwa nakuta hawana chumvi na wengine nakutana na kauchungu kidogo. Je hivyo ndivyo walivyo mademu wote au ni mademu wa siku hizi tu au kuna kitu wanafanya hadi wanakuwa na hali hiyo. Wana JF naombeni msaada make nimikuwa nikipata shida hadi niliwahi kudhani kuwa labda nimewekewa kalimbwata ndo maana nikakutana na hiyo taste.
Chief magita we ni bangi Sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katok period jana leo unazama chumvin
Kun wat wana roho ngumu
 
Kaka to tell you the truth hili suala la chumvini kuacha sio rahisi.
Mimi naomba tu unipe njia za kuweza kulifanya hili jambo bila kupata madhara (Playing safe)!
Ha ha haa.. Bora tu uwe mkweli
 
Back
Top Bottom