Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Hivi huu mchezo wanawake huwa wanaupenda or mnajilazimisha

Ni kweli mke wa mtu anaweza acha mumewe na kwenda kwa mchepuko kufwata hii ishu? Or mnafurahisha jukwaa tu
 
Wakuu nasikitika kuwaambia kuwa nimekuwa mzama uvinza maarufu.Kuna mke wa mtu amechanganyikiwa baada ya kumzamia uvinza mara mbili,hamtaki tena mume wake muda wote ananionea wivu na kunifuatilia.

Hali si hali.
Huyo alikua tu nampango wa kumuacha mumewe.Asisingizie chumvi wala sukari.
Kwanza kwani mumewe hana mdomo?
 
Wakuu nasikitika kuwaambia kuwa nimekuwa mzama uvinza maarufu.Kuna mke wa mtu amechanganyikiwa baada ya kumzamia uvinza mara mbili,hamtaki tena mume wake muda wote ananionea wivu na kunifuatilia.

Hali si hali.
Kwani shule zimefungwa.?
 
Naona tumekosa sifa za kujinasibisha nazo....pole Sana mkuu
 
Hivi huu mchezo wanawake huwa wanaupenda or mnajilazimisha

Ni kweli mke wa mtu anaweza acha mumewe na kwenda kwa mchepuko kufwata hii ishu? Or mnafurahisha jukwaa tu
Wanawake hawaeleweki
 
Eti hii ujinga nayo mtu anajisifia, ila sio mbaya unawarahisishia madaktari kujua chanzo siku ukipata Kansa ya koo.
 
Wakuu nasikitika kuwaambia kuwa nimekuwa mzama uvinza maarufu.Kuna mke wa mtu amechanganyikiwa baada ya kumzamia uvinza mara mbili,hamtaki tena mume wake muda wote ananionea wivu na kunifuatilia.

Hali si hali.
Tanzania ya viwanda.
 
Back
Top Bottom